makamu wa kwanza wa rais wa burundi amekuja kwa ndege ya abiria

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Hey! hebu tueleze mbona kama wameweka bendera yetu kwenye hilo carpet nyekundu? Ninauhakika hiyo ni bendera yetu huko Congo?

    ReplyDelete
  2. Hayo ndo maendeleo sasa, sio mawaziri wetu kutumia ndege za jeshi kwenda nazo Tabora

    ReplyDelete
  3. Hivi kilichomshinda huyo Mama Wa Kiislamu kuvaa kitenge cha heshima na kutuonyesha size ya nyonga zake nini hivi hizo semina elekevu maana yake nini huyu mama ni waziri wa serikali na yuko hapo kumwakilisha rais kuwalaki wageni wa nchi na rais yaani hakuweza hata kufikiri kujistiri kidogo mwone Ngasongwa kenda kumpokea rais wa Comoro kapiga na bakalshia sasa yaani tufanye hata semina nyingine huko ngurdoto kufundishana mavazi

    ReplyDelete
  4. anony wa kwanza kabisa juu.jamani sio kukosoana tu..yaani umesoma kitu gani kinaendelea hapo au umetaka kukosoa bendera tu.au ndo mambo ya patron n'weed!!acha mambo yako ulitaka waweke bendera za wapi hapo

    ReplyDelete
  5. kweli huyo mama ndio anajua watu wake wanashida,kaja kwenye kajamba nani.huo ni mfano mzuri kwa wengine

    ReplyDelete
  6. wewe acha maneno.... hizi picha za michuzi kachanganya mara congo mara tz. Ndio maana niliania tuko bado congo kumbe tumerudi bongo. Wabongo kila kitu mnafikiria vingine...wewe i wish ningekujua ndio mchawi ukiyeko hapa kwenye michuzi kila kitu kwako kinasbabu pumbafu wewe.

    ReplyDelete
  7. MICHUZI KELELE ZOTE TULIZOPIGA KUHUSU BENDERA YETU KUKANYAGWA BADO TU WANAIKANYAGA? AU MZEE MZIMA HUFIKISHI MALALAMIKO YETU?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...