Home
Unlabelled
dar
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Shida za Umeme, maji, rushwa vimeisha pia? Au majengo tu..... Acha ushamba Michuzi!
ReplyDeleteacha ushamba wewe anonymous kwani michuzi alivyotuwekea hii picha katuambia kwamba shida hiyo imekwisha basi mimi nakwambia hajaisha sasa wewe tutatuliye sawa tukushukuru, domo kaya tuu, picha hii kwako kama ni karaha nenda zako na kivyako vyako lakin kwa wenginewe ni burudani tosha tena isiyo na kifani kuona jiji letu la dar linavyoshamiri, michuzi asante sana kwa picha hiii na kumbuka dar ile mbaya tena na miss kinoma noma aaa jamani eeeh.
ReplyDelete