Home
Unlabelled
duni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hawa CUF hawana wanachama wa kike!?
ReplyDeleteHapa Tanzania Chama kizima Cha CUF kina msomi profesa mmoja tu (Profesa Ibrahim Lipumba)tu nchi nzima. Wasomi hawataki kujiunga nacho kutokana na sera zake mbovu zisizozingatia maslahi ya Tanzania nzima katika utendaji wake.
ReplyDeletekuna chama chenye wasomi wengi kama CCM? Wanaipeleka wapi nchi? Sera zao nzuri? Tendwa kawaponda hapa majuzi kuwa sera zao ni zile zile za TANU.Nchi haiendelei na sehemu zenye unafuu ni chache.Hivi watu wa kusini,kigoma,tabora,nk wamenufaika vp na sera za ccm? Maprofesa kibao hadi ktk cabinet ila nchi lishauzwa zamani.Vp hujaliona hilo? Mwingine anauliza mbona hakuna wanawake.Unadhani ni diamond jbilee hapo? ni UK.Labda hawana members wanawake huko.Kuna wengine walikuwa wanasema eti mikutano yao yote ya tz ni wanawake wanaojaa,sasa huyu nae anasema mbona wanaume tu.Au unamaanisha nini?
ReplyDeleteHeri kuwa na chama chenye wasomi wengi wajinga kuliko kuwa na chama chenye mbumbu wenye akili ambao hawakwenda shule na wanaona shule kama kituo cha polisi.
ReplyDeleteKuhusu wasomi wa CCM wamefanya nini? Ni kuwa Kwa usomi wao wametengeneza sera ambazo zimewafanya Wapemba wengi waanzishe maduka Tanzania bara na walipe kodi huko badala ya kuwekeza Kwao Pemba na kulipa kodi huko ili kuchochea maendeleo ya Pemba.Wasomi wa CCM Wamewafanya wapemba wengi waone kuishi Tanzania Bara,London na Ulaya ni bora zaidi kuliko kuishi Pemba au kuwekeza Pemba kwao walikozaliwa.
Pia chama kukataliwa na wasomi siyo sifa hata kidogo.Ni kigezo cha wazi kuwa sera za chama hicho hazikubaliki kwa wasomi hata kidogo.CUF mjirekebishe tunataka upinzani wenye nguvu ambao hata wasomi wako tayari kujiunga nao.CUF Kaeni chini msile tu fedha za ruzuku na wafadhili. Watawachoka.Jiulizeni kwa nini wasomi na watu wa dini zingine hawajiungi kwa wingi na chama chenu.Tafuteni majibu.Kufunikafunika na majibu ya jazba hayatawafikisha mbali.