Home
Unlabelled
fm academia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hizo nguo walizovaa utafikiri vipepeo,michuzi washauri wawe na sare basi kah!
ReplyDeleteHapa kweli twanga wajifue, je chipolopolo nao vipi ebu tuwekee katika blog tuone kama ushindani umeiva...
ReplyDeletenimewakubali FM academia haya Twanga kazi kwenu...International, kwa upande wa Chipolopolo, tunasubiria habari zao.
hi bwana michizi hap vijana siku hizi wanatisha sana nasikia hata Twanga hawakuti, imekuaje wakaaacha twanga. Naomba ututajie kikosi kizima cha Fm.
ReplyDeleteWAZEE HAMJAKOSEA KWANI WANA WA NGWASUMA SIO MCHEZO. TWANGA PEPETA HAWAONI NDANI NA KILA WALIPO WANANCHI KIBAO WAMEJAA, NA WAUMINI WAO WAKUBWA NI WAKURUGENZI WA NGUVU HAPA MJINI, NA WANAWAJALI SANA, NIKIANZA NA 1.SAMUELI MABIBA MFANYA BIASHARA MAARUFU HAPA MJINI, MWENYE VISIMA VYA MAFUTA, 2.BENI MULOKOZI WA MANYUMBA, NA MKUU WA MADALALI WOTE, 3. CHALESI MUTAWALI, MKUU NA MUZEE WA MAGARI, 4.SAID MWINYI DOKTA NA MKUU WA MANYUMBA PIA CLEARING NA FORWADING.
ReplyDeleteASANTE KWA KUWATANGAZA HAWA FM ACADEMIA, BENDI YA UHAKIKA HAPA BONGO HII, TWANGA PEPETA KAZI KWENU, NA CHIPOLOPOLO TUNASUBIRI.
Baadhi ya mastaa wanaounda FM Academia, wazee wa 'Mujini' au wanagwasuma ni:
ReplyDelete1. Nyoshi el sadat 2. Pablo Masai 3. Mule mule 4. Pacho Mwamba nk.
Enzi zile Prince Papy Kocha (au mtoto wa mfalme kama tulivyozoea) alikuwa anichagiza kwa rap zake zilizoenda shule.
Eh bwana hawa jamaa wanasumbua jukwaani wee acha tu
Hamna bendi ya kufananisha na twanga hawa manajitahidi tu THE MIGHT TWANGA PEPETA ni kiboko
ReplyDeleteJIPE MOYO TU, NDUGU Rhxoqsa. Pole sana kama una sheaz na twanga pepeta. inabidi tu uwape moyo lakini ukweli ndio huu,: WANANGWASUMA OYEEEEEE;
ReplyDeleteRhxoqsa pole sana kama unaongelea twanga ya SAFARI 2005 nakubaliana na wewe lakini kama ni intaneshonali??? inglishi noti richaboo....Wamekwisha labda tusema chipolopolo maana wazee wa kazi wapo kule. Michuzi ebu tuwekee vitu vya chipolopolo na intaneshonali ....Wanangwasuma wanatesa ...
ReplyDeletekweli jamaa hapo juu umenena sijui kwanini hawavai sare yaani safu haipendezi kabisa unajua ukivaa sare hata usipocheza sana mnapendeza lakini na mirangi mara huyu kijani,bluu njano ilimradi shughuli tuu inaboa,pili kuhusu twanga mimi twanga nashangaa siku zote watu wanaisifia hamna kitu pale safu ya uimbaji sijui inafanya nini yaani ndio wananiuzi hakuna bendi ina safu ya uimbaji ya mbovu kama ile watu wanavaa kila mtu chake(mara huyu kavaa suti huyu kit-shirt,huyu kaptura tuelewe nini?,kila mtu style yake ya kucheza anayojua yeye mimi wananiuzi sana wanapewa vichwa vya bure tuuu kina lwiza na babu yao midevu angalau wale vijana wanaorap diouf,banza.....wanafurahisha nasema twanga ingebaki ile safu ya kucheza tuu maana ile ndio bendi yenyewe hao wanaoimba hakuna hata mwenye sauti ya kuvutia na nzuri kwa hilo tu ndio napowasifu wazaire wanakwambia mziki hauwezi kukamilika bila mavazi sababu unakua mbele ya watu
ReplyDeleteMichuzi,
ReplyDeletembona wanaonekana kama wanatoka damu usoni ? Ni mkorogo au ndio walivyo
NI MIKOROGO HIYO, MANA NIKAMA FASHENI BONGO SIKU HIZI WANAWAKE KUJICHUBUA HATA WEUPE PIA WANATUMIA ILI WAZIDI KUWA WEEEEEEEUUUUUUUUUPEEEEEEEEE, HATA WANAUME HASA HAWA WAZAIRE KWA MKOROGO NDIO WENYEWE, HALAFU WANAISHIA RANGI YA PEPSI MIRINDA. MANA UONGO MKOROGO UNAKOLEA SANA USONI LAKINI UTAONA MIKONO NA MIGUU NA KWENYE VINGOKO, BADO KWEUSI.
ReplyDeleteMbona watu wenyewe hakuna? Chipolopolo zaidi
ReplyDeleteChipolopolo zaidi
ReplyDeleteNEW YEARS EVE PARTY
ReplyDeleteWASHINGTON DC.
ALL AFRICAN COUNTRIES.LET'S GET TOGETHER.
DECEMBER 31/2007 FROM 9PM TO 4AM TILL WE SEE 2008 TOGETHER.
LOCATION MIRAGE HALL 1401 UNIVERSITY BLVD,HYASTIVILLE MD 20783 ABOVE CRYSTAR CLUB.
COME ON, COME ALL TOGETHER TO CELEBRATE NEW YEAR AND EVE'S BIRTHDAYS. CONTACT: MAYOR MLIMA 301 806 8467 DJS DJ LUKE,DJ RICHIE(FBI)DJ DAVE,DJ JOE.ENTRY $20 COVER BEST COUPLES TO GIFTED. ALSO ITS A CHAMPEGNE NIGHT&ALL THE DRINKS