Home
Unlabelled
ngwasuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
WAZANIMI MSICHOKE, WAKURUGENZI 1.SAMUELI MABIBA, MFANYABIASHARA MAARUFU, WA VISIMA VYA MAFUTA AMBAVYO HAVIKAUKI, 2. BENI MULOKOZI, MKUU WA MANYUMBA NA MADALALI WAAMINIFU, 3.CHALESI MUTAWALI, MUZEE WA MAGARI. 4.SAID MWINYI MFAZILI DOKTA, NA CLEARING.
ReplyDeleteWAKURUGENZI HAWA NI WAPENZI NA WAJALI WA FM ACADEMIA WANA NGWASUMA.
JAMAA WANASUMBUA JUKWAANI HAWA. TWANGA PEPETA NJE, WAKAE CHONJO MAANA WANA MTIHANI MKUBWA HAPA. NGWASUMA WAMEWINI BONGO YOTE, HATA WAKIPIGA MADONGO POLOMOKA WATU WAMO TU.
UUUUWIIIII JAMANI NAMPENDA HUYU SAMUELI MABIBA MLIOMTAJA HAPA AAAAAAAAAH! JAMAA BONGE LA HENDISAMU FULANI HIVI NI HAFUKASTI. NI PATASHIKA KWA KINADADA HAPA MJINI MIE NILIJARIBU KUMVIZIA SIKU MOJA MWANAMKE WAKE BADO KIDOGO ANIKATE SHINGO. NA BADO KIDOGO NIMWANBIE -SHOGA-- HII SIO MALI YAKO PEKEE ALAAA! LAKINI NITAENDELEA KUMVIZIA TU. MANA ANAONEKANA HATA KWA MAPENZI YA KITANDANI POA SANA LAZIMA NIMUONJE.
ReplyDelete