bei ya fweza leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MICHUZI MZEE,
    Kwanza nikupe heri ya Krismas na mwaka mpya. Wewe umedhihirisha kuwa dini isiwagawe Watanzania hata siku moja. Umenifurahisaha sana kwa kupiga picha za Krismas kanisani, tena makanisa kadhaa, kuonesha hukubahatisha! Du, mzee umaarufu huanza kidogo hivihivi.

    Pili, nashukuru kuona viwango vya kubadilishia feza hapo. Maana wengine tupo vijijini, kabla ya kwenda Dar kubadilisha, angalau tunaweza kujua viwango vya siku au wiki husika.

    Mwisho, naomba kwaniaba ya wenye mawazo yatakayofanana na yangu, utuvumilie. Kwani, baadhi yetu tunaweza kutumia lugha za kukashifu mawazo ya wenzetu "sio mimi". Nadhani lengo lako ni kufanya tuwe na mahali pa kubadilishana mawazo ilimradi hakuna matusi. Sasa utashangaa mtu hajafurahia alichosema mwenzake, na anaanza kukashifu. Nadhani huo sio ustaarabu.

    TUNAKUSHUKURU KUTUPA NAFASI HII MICHUZI. KAZI NJEMA.

    MLALAHOI..... Kijijini.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...