sehemu zingine utadhani hamna watu wakati wa sikukuu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. ehh bwana michuzi umenikumbusha back on time hall six hapo!!sana tu wazee tulikua kimya kimya tunakamua

    ReplyDelete
  2. Nilimalizia Third Year yangu hapo (1969/70). Ilijengwa naiona kwa macho yangu...tuliita Biafra kwa sababu ya kujitenga na Halls of Residence nyingine (Halls 1 to Five)!

    ReplyDelete
  3. Born again hatutaki maelezo yako kila mtu ameita huku kijana tulia kabisa.

    ReplyDelete
  4. GGEGEDU, kama kweli KILA MTU AMEITA (incidentally, mimi sikuita na ni mtu kama hao unaowarepresent)!

    Kwa kuwa statement yako is weak, basi sitaitia maanani; nipatapo muda nitayatundikaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

    Again, kama KILA MTU AMEITA, basi kulikuwa na makelele meeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeengi saaaaaana!

    Mwisho, endapo KILA MTU AMEITA, basi wali-flood your line!

    ReplyDelete
  5. i hate stupid conversation and stupid detail,,, tukiita tuliita,,who wana know thrrrrrrrrr

    ReplyDelete
  6. Sorry AMEPITA HUKO,nimekosea unajua tena mtu ukikaa mbali hata kiswahili kinakimbia kidogo.

    So haina haja ya wewe kuanza kueleza watu maneno mengi kijana tulia manyanga hayo.

    ReplyDelete
  7. JAMANI, TUACHE HILA NA KUTUKANA WATU WANAOTOA MAONI. Born again kusoma pale UDSM hakukuhusu wewe unayetukana. Kama maneno hayo hayakugusi, pasi tulia. Wapo tunaopenda kuyasikia hayo, hasa tuliosoma baadaye. Inasaidia kujua kwanini waliita BIAFRA na sasa haiitwi hivo. Kwa taarifa yako, kuna watu UDSM wanafanya utafiti wa ukuaji wa lugha ya msimu "Slang". Na maneno kama BIAFRA litakuwa mojawapo ya data zinazodhihirisha mabadiliko ya mazingira na maneno ya vitu hivyo.
    Utakuta mnaojifanya 'mna-hate' maneno ya BORN AGAIN, hamkupata nafasi kusoma pale, au mlisoma na hamna cha kusimulia. Waache waliopita pale wasimulie, uliyekosa tuliza boli waongee.....

    MLALAHOI

    ReplyDelete
  8. Anonymous was Wednesday, December 27, 2006 5:38:47 AM, I assiduously "love" youooooooooo abudantly, albeit your position of expressed hate, real or imaginary!

    Ukae kwa amani na usalama, umalize mwaka wa 2006, na uanze wa 2007, the same.

    Mlalahoi,mjm, BRAVO and a lot of KUDOS, mucho, mucho gracias! Aluta continua (mapambano yanaendelea)!

    While wishing you (and everybody out there katika sayari mtandao)all the very best for 2007, this is Born Again Pagan (asiye na kinyongo), signing off and saying bye for now!

    ReplyDelete
  9. Born Again waeleze hawa watoto wa juzi, wanajifanya wanaijua sana UD, wakati wewe umeiona toka inajengwa. Tena waambie kuwa original UD ilianzia down town, kabla haijahamia hapo ilipo sasa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...