kitoweo kikipakiwa kwenye jahazi tayari kwa safari ya zenj na komoro

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. That's an abuse, animal or human. It's bang out of order!

    ReplyDelete
  2. Wazenj kila siku wanasema bara hatuna msaada kwao na hata wamefika kutaka kujitenga,jetengeni sijui mtakula nini maana maharage ,mahindi everything ni kutoka bara.Waarabu watawadanganya lakini baada tu mkishatoka kwenye muungano na wao hao mbio kichizi mnaachwa njia panda.Lakini itakua faida kwa watu wa bara maana watakua wanaleta vitu zenj just like taking to other foreign countrie.
    Angalieni jamani.

    ReplyDelete
  3. Zaidi ya Kitoweo, Ulabu wote katika Visiwa vya Zanzibar unategemea usafari wa Majahazi..

    ReplyDelete
  4. TSPCA ipo? Mnatesa wanyama

    ReplyDelete
  5. TSPCA !! Nchini hapa watu wanateseka sana na wanyama pia kama unavyoona katika picha.TSPCA badilisheni katiba msiishie kutetea wanyama tu na watu pia huyo aliyeshika mkia aweza pigwa teke na huyo ng`ombe.Halafu huyo jamaa namjua sana ni mdogo wake wa kuzaliwa na Issa Michuzi pamoja na kuwa Michuzi hataki kumtambulisha kwenye blog..

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...