Home
Unlabelled
kitoweo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
That's an abuse, animal or human. It's bang out of order!
ReplyDeleteWazenj kila siku wanasema bara hatuna msaada kwao na hata wamefika kutaka kujitenga,jetengeni sijui mtakula nini maana maharage ,mahindi everything ni kutoka bara.Waarabu watawadanganya lakini baada tu mkishatoka kwenye muungano na wao hao mbio kichizi mnaachwa njia panda.Lakini itakua faida kwa watu wa bara maana watakua wanaleta vitu zenj just like taking to other foreign countrie.
ReplyDeleteAngalieni jamani.
Zaidi ya Kitoweo, Ulabu wote katika Visiwa vya Zanzibar unategemea usafari wa Majahazi..
ReplyDeleteTSPCA ipo? Mnatesa wanyama
ReplyDeleteTSPCA !! Nchini hapa watu wanateseka sana na wanyama pia kama unavyoona katika picha.TSPCA badilisheni katiba msiishie kutetea wanyama tu na watu pia huyo aliyeshika mkia aweza pigwa teke na huyo ng`ombe.Halafu huyo jamaa namjua sana ni mdogo wake wa kuzaliwa na Issa Michuzi pamoja na kuwa Michuzi hataki kumtambulisha kwenye blog..
ReplyDelete