Home
Unlabelled
maringo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyu jamaa chini kavaa ngalawa, huyu akifika baharini oh sorry ziwani hana shaka anapita tu
ReplyDeleteWapi ninaweza kununua pea ya viatu vya namna hiyo. Designer: Kitambaa cha Sikukuu!
ReplyDeleteDesigner ni nani? Je, hapo Musoma ni duka gani ninaweza kuagiza hiki kiatu? The pair of shoes is artistically fantastic!
ReplyDeleteHivyo viatu vina mapembe nini? Hata ruhusiwa kupanda kwenye ndege ya kwenda Ulaya navyo watasema ni lethal weapon!
ReplyDeleteNani ana kazi yake? Ningependa kumsikia
ReplyDeleteHivyo viatu ndio vyenywe kwa jina vilikuwa vinajulkana kama "WANCHOMA KUMOYO" nikivipata niko radhani kuvinunua kwa bei yeyote
ReplyDelete