msanii aitwaye maringo akitumbuiza siku ya miwaya musoma juzi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Huyu jamaa chini kavaa ngalawa, huyu akifika baharini oh sorry ziwani hana shaka anapita tu

    ReplyDelete
  2. Wapi ninaweza kununua pea ya viatu vya namna hiyo. Designer: Kitambaa cha Sikukuu!

    ReplyDelete
  3. Designer ni nani? Je, hapo Musoma ni duka gani ninaweza kuagiza hiki kiatu? The pair of shoes is artistically fantastic!

    ReplyDelete
  4. Hivyo viatu vina mapembe nini? Hata ruhusiwa kupanda kwenye ndege ya kwenda Ulaya navyo watasema ni lethal weapon!

    ReplyDelete
  5. Nani ana kazi yake? Ningependa kumsikia

    ReplyDelete
  6. Hivyo viatu ndio vyenywe kwa jina vilikuwa vinajulkana kama "WANCHOMA KUMOYO" nikivipata niko radhani kuvinunua kwa bei yeyote

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...