Home
Unlabelled
mrema
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui kama kale ka kijana ketu kalikozimia uwanjani wakati wa sherehe, kalialikwa pia!
ReplyDeletemichuziiii tunakupa pongezi kwa kazi zako yako nzuri unayofanyaaa... lakii tuapenda tupate picha zaidi za jk kwatika mkia wa jogoo jana usiku' na aple taifa kwa ukarbu zaidi;; mana tunaona viongozi wengi wa upinzani wanakubali mziki wake..... MUNGU BARIKI TANZANIAA...
ReplyDeleteKibaraghashia ana cheeka ! Kapewa unaibu mama JK nini !
ReplyDeleteViongozi wengi wa vyama vya siasa vya ushindani wanamkubali JK kwa sababu JK hana tabia ya kuwapuuza wala kuwabeza kama alivyokuwa Mkapa.Mkapa kila hotuba lazima awapige madongo watu wa vyama vya ushindani hata katika hafla za kiserikali zisizokuwa za CCM yeye alikuwa akiingiza hoja za ushindani wa vyama.
ReplyDeletesasa angalia tena hapa Rais wetu alivyovaa tena ukute ni nguoza bei mbaya ...haya shati la blue tena ana melemata style alafu koti kama wale mababu wa kizungu mmh!
ReplyDeleteMkapa hakua na shepu lakini kwa kuvaa tu ah ninamvulia kofia unasema yes Raiswa Jamhuri ya muungano wa Tanzania
Anonymous wa Sunday, December 10, 2006 5:43:30 PM, ukitaka mapicha zaidi, fungua kikweteshein.com tazama upande wa mkono wa kushoto juu, bonyeza Habari katika Picha. Tazama vichwa vya habari kuu na fungua Last Upload.
ReplyDeleteMrema hapo wamemfikisha make ndio ndoto yake
ReplyDeletesiyo vibaya kualika watu ikulu,,ilaaaaa, JK ss imekuwa too much, naona anataka kuturudisha kwa mzee ruksaaaaaaa,, ikulu ni sacred place jk,,usipoangalia baba mchonga atakuandikia na wewe km alivyomlima mwinyi,,,,angalia mzeee,,,,tupunguze matumizi ya serikali,,bado vipaumbele vyetu tumeviakacha, wananchi wakawaida wanataabika,,,
ReplyDeleteMrema huwa haogi au kubadilisha nguo? kila hafla ana hako kaunda suit keupe ka mikono mifupi.Ruzuku umepeleka wapi?
ReplyDeleteNa nyie nao mmezidi, Mchonga Mchonga, eti atakuandikia akulime, na yeye ni binadamu tu kama wengine wote, ingekuwa sivyo asingepumzika 6 feet under!!
ReplyDeleteLAKINI JAMANI KWELI KWA KUVAA JK SIFURI,YANI ANACHEMSHA MARA NYINGI MNO!SIJUI HANA DRESSING ADVISOR!!!?HATA KAMA NDIO ANA MISS MAMBO YA VIJIWENI HII SASA TOO MUCH.NA HIVI NDIO AMEKAA NJE MIAKA KIBAO!
ReplyDelete