Home
Unlabelled
noma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mwana mbona hapo cha mtoto! Huku Shekilango wanapodai wametengeneza barabara ndo soo kichizi! Halafu mitaa ya Tandale ni hakufai mwanangu!
ReplyDeleteDuh! mambo ndio hivi Dar, Michuzi nawaonea huruma hasa familia yangu ambayo inakaa karibu na cine club, ambao lazima wapite njia hii. am glad am in New York right now,
ReplyDeleteDu Poleni kaka
ReplyDeleteNafikiri ni mambo ya Miundombinu tu kaka, hata nch zingine huwa na mafuriko lakini sio kwa mvua ndogo kama za Dar. Mvua zao huwa ni heavy kweli. Pole kwa kukosa mapato ya mwisho mwisho wa mwaka, Ila ni baraka kaka, si unajua ukame ndo mwanzo wa mgao wa umeme.
Michuzi,
ReplyDeletePoleni sana. Sisi huku Iringa mvua ilinyesha sana usiku wa kuamkia leo, lakini kama unavyoijua Iringa, mji uko mlimani, maji yanatiririka tu kuelekea bondeni.
Tatizo hakuna plan nzuri ya kujenga jiji ndio maana mafuliko mna yaona. Kama ingekuwa na plans basi haya yasingetokea. Yaani haibu kila idara na kila kona.
ReplyDeleteBado kidogo mambo yatakuwa mazuri tu huko.. Subirini wachina wamalize ujenzi wa mifereji ya maji machafu/ya mvua
ReplyDeletePoleni sana!
ReplyDelete