dar leo noma! mvua kibao na mafuriko usiseme...hapo ni kwenda msasani kwa mwalimu, sio mbali na photo point ambako kulikuwa bahari na imebidi kazi isimame kwa leo yote kwani maji hadi ndani...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Mwana mbona hapo cha mtoto! Huku Shekilango wanapodai wametengeneza barabara ndo soo kichizi! Halafu mitaa ya Tandale ni hakufai mwanangu!

    ReplyDelete
  2. Duh! mambo ndio hivi Dar, Michuzi nawaonea huruma hasa familia yangu ambayo inakaa karibu na cine club, ambao lazima wapite njia hii. am glad am in New York right now,

    ReplyDelete
  3. Du Poleni kaka

    Nafikiri ni mambo ya Miundombinu tu kaka, hata nch zingine huwa na mafuriko lakini sio kwa mvua ndogo kama za Dar. Mvua zao huwa ni heavy kweli. Pole kwa kukosa mapato ya mwisho mwisho wa mwaka, Ila ni baraka kaka, si unajua ukame ndo mwanzo wa mgao wa umeme.

    ReplyDelete
  4. Michuzi,
    Poleni sana. Sisi huku Iringa mvua ilinyesha sana usiku wa kuamkia leo, lakini kama unavyoijua Iringa, mji uko mlimani, maji yanatiririka tu kuelekea bondeni.

    ReplyDelete
  5. Tatizo hakuna plan nzuri ya kujenga jiji ndio maana mafuliko mna yaona. Kama ingekuwa na plans basi haya yasingetokea. Yaani haibu kila idara na kila kona.

    ReplyDelete
  6. Bado kidogo mambo yatakuwa mazuri tu huko.. Subirini wachina wamalize ujenzi wa mifereji ya maji machafu/ya mvua

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...