mratibu wa miss utalii gideon chipungahelo akitoa lekcha kwa mamiss leo katika maandalizi ya fainali za kitaifa za miss utalii zitazofanyika jumamosi

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Ha! Jamani mamiss gani hawa mbona wamechoka kinoma loh! Bwn Gidi hujawaona warembo waliosheheni mitaani dah watoto wamechoka kuliko hata mie kidume!

    ReplyDelete
  2. naona jamaa antoa lekcha hapo,ameshawahi kuwa miss nini?

    ReplyDelete
  3. Huyu Chips vipi mbona mwenyewe kachoka sana.........?

    ReplyDelete
  4. huyu chips ni bonge ya tapeli yaani nawashangaa ambao wamempa kibali cha kufanya hayo mashindano. Aliwahi kutuzika zawadi zetu wakati akiendesha mashindano ya Miss Kilimanjaro. Aliwahi pia kupigwa Moshi mchana kweupe kwa ajili ya utapeli wakati huo akiwa anafanya bima kabla ya kupunguzwa kazi. Ya nyumbani kwake ndo kabisaaa bora tuyamezee!!!Nyie ma-miss kaeni chonjo na mtu huyu

    ReplyDelete
  5. Michuzi weka hiyo comment yangu kuhusu huyo chips. Nataka hao wadada wamfahamu vizuri kabla hawajaingia kwenye hayo mashindano ya utalii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...