bango la miss utalii 2006

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Utafikiri mwanamama huyo pichani anatoka sauzi!

    ReplyDelete
  2. POA SANA DADA KAPENDEZA UTAFIKIRI SI MBONGO.
    LAKINI NIELIMISHENI MWENZENU, HAYA NI MASHINDANO YA NAMNAGANI? MANA UMISS TZ, UNAFAHAMIKA DUNIA NZIMA. LAKINI SIKU HIZI KUMA MA UMISS WA KILA AINA.
    MI NAONA NI NJIA TU YA KUTENGENEZA PESA AU SIO WADAU? KAMA ULE MCHEZO WA PYRAMID ULIOANZISHWA NA ROSE PAMOJA NA SHOGA YAKE MPENZI ZAINAB? MAANA BONGO HAPA KIKIANZISHWA KITU KAMA KUNA MASLAHI, POA HAMNA NOMA. KAMA KUNAKUFAIDIKA, NA KUFAANA. NI SAFI.

    ReplyDelete
  3. kiswahili kazi kweli kweli. lazima ni mzungu aliyejifunza kiswahili ndio aliandika bango hilo. sijui alikuwa anataka kuandika FAINALI. au inamaana nyingine

    ReplyDelete
  4. Annon 8.51:04 nomba ninukuu kiswahili chako..."siku hizi kuma ma umiss......" {mwisho wa kunukuu}naomba unieleweshe ulimaanisha nini acha kusema wenzio hawajui kiswahili.

    ReplyDelete
  5. ASANTE ANONY KWA KUNUKUU KISWAHILI CHANGU, NA PIA NAOMBA RADHI KWA WADAU WOTE. THAT WAS JUST A TYPING ERROR. NILIMAANISHA "SIKU HIZI "KUNA" MA-UMISS KIBAO.
    ASANTE.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...