mtangazaji na mkuu wa programu sebastian maganga akijitafuna kwenye studio za clouds 88.4 fm radio huku waziri mdogo wa habari, utamaduni na michezo daniel nsanzungwanko (duh! sujiu nimepatia...) akisikiliza. kulia ni bosi wa clouds 88.4 fm joseph kusaga. hii ni siku waziri huyo alipotembelea vyombo vya habari

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hivi Joseph Kusaga huwa anacheka... Naon huwa yuko serious muda wote!!

    ReplyDelete
  2. Kwa nn asicheke kaka wa watu.May be uyo Seba kuna kitu kakosea kueleza ndio maana unaona kakunja sura ata kama ungekuwa ni ww.Ila michuzi mbona pic hii inaonekana vibaya?Tuwekee nyingine si pic zitakuwa zimepigwa nyingi?haya tuwekee ili watu wa Ughaibuni tujue bongo inavyoendelea.MJM wa Maryland USA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...