
mtangazaji na mkuu wa programu sebastian maganga akijitafuna kwenye studio za clouds 88.4 fm radio huku waziri mdogo wa habari, utamaduni na michezo daniel nsanzungwanko (duh! sujiu nimepatia...) akisikiliza. kulia ni bosi wa clouds 88.4 fm joseph kusaga. hii ni siku waziri huyo alipotembelea vyombo vya habari
Hivi Joseph Kusaga huwa anacheka... Naon huwa yuko serious muda wote!!
ReplyDeleteKwa nn asicheke kaka wa watu.May be uyo Seba kuna kitu kakosea kueleza ndio maana unaona kakunja sura ata kama ungekuwa ni ww.Ila michuzi mbona pic hii inaonekana vibaya?Tuwekee nyingine si pic zitakuwa zimepigwa nyingi?haya tuwekee ili watu wa Ughaibuni tujue bongo inavyoendelea.MJM wa Maryland USA.
ReplyDelete