gharika ikija...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Naomba msaada jamani.Hapo mahali paklo sehemu gani ya mji? Naona pametulia na ningependa siku moja nitembelee.

    ReplyDelete
  2. Habari,hapo ni NAMANGA.Jamani pembeni yake hapo kuna chips tamuuuu[ukienda huwa tunasema leo tunaenda kwa JUMA]uwiii leo niende nikale{wengine wanaita CHIPS VUMBI}.KARIBUNI SANA

    ReplyDelete
  3. Hapo ni Namanga baada ya maduka ya Wapemba ukichepuka tu kama unaemda Msasani Kanisani; Panaitwa Arca di Noe...

    ReplyDelete
  4. Hapo ni Masaki mwisho baba, pana sifika kwa malaya wa bei mbaya, jumatatu mpaka ijumaa wanafanya kazi za kawaida maofisini, weekeend wapo hapo na magari yao ya bei mbaya, bila dola 50 hakuvulie chupi! labda atokee kukutunuku tu

    ReplyDelete
  5. Hapa ni barabara ya Kimweri ukitoka Namanga kama unaelekea Aqua Video Library Msasani. Hii kwa wale wa zamani wanaokumbuka Msasani Bay Villa sasa kama unatokea Namanga kuelekea pande za huko Bay Villa au Smokies. Umenipata hapo na kama umeondoka zamani sana basi itakuwa ngumu kidogo

    ReplyDelete
  6. Kaka Anony hapo ni maeneo ya Namanga at the junction of Kimweri na Old Bagamoyo Road...panaitwa Larca de Noe....in English NOAH's Arch....kama ushawahi kusoma Bible!

    ReplyDelete
  7. Panaonyesha pametulia. Kwa pembeni hapo naona kama mabati yenye kutu!!!! Kama ni kweli, basi watuandalia na kinga ya tetenasi

    ReplyDelete
  8. Ni L'arca di Noe(italian).Nenda tu kampe mpika pizza(chapati za kizungu)utajiri!
    Wanakimbia upuuzi wao kwao kuja kupika chapati ambazo hata sisi twaweza zipika.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...