Home
Unlabelled
vifaa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi sasa nikija na karaoke ya mtoto wangu si huyu kijana hana kazi tena. Kareoke ya mtoto wangu inaweza kupiga holi la watu mia tano na this is just a toy. Kwanza nikija nayo hii kazi nitaziwafanyia bure tu. Kipaza sauti tu tena kwenye msiba..... Michuzi......nimekuvulia kofia...
ReplyDeleteHapa watu mnapotezana kweli,ukakae bongo eti unasubiri kupata hela kwa kukodishwa kupiga mziki?My friend you gonna die without knowing what a 100 bucks look like.I don`t mean that this is totaly crap no, but you have a lil education and sit around waiting for this?Ni ngumu jamani.Utakufa masikini.Ila kweli kama huna elimu and you don`t see yourslef being able to do something else,sure go right ahead with this.
ReplyDeleteHebu naomba watanzania wenzangu mnisaidie kwa hili sijui ni mtazamo wangu au vipi?Nadhani wengi wetu tunahudhuria kwenye misiba yetu ya siku hizi tunaona jinsi ilivyobadilika,hivi kuna umuhimu wa wafiwa kuweka muziki kwenye mazishi ya wapendwa wetu?tunasheherekea au tunaomboleza maana misiba ya siku hizi imekuwa kama harus! kuna tofauti gani kati ya msiba na harusi? hata uvaaji hasa kwa akina mama msibani imekuwa sehemu ya kuonyesha dhahabu, mavazi ya kisasa,nk.Au ndiyo umagharibi tunuiga kwa ARI, NGUVU NA KASI MPYA?TUMEKUWA WAIGAJI KUPITA MAELEZO!naomba wezangu mnisaidie kwa hili,labda ni ushsmba wangu kwamba siendi na wakati.NAOMBA KUWASILISHA.
ReplyDeleteWewe kama ni mkristo na unaamini kuwa kuna life after death why you have to cry? You have to celebrate the life of the person who passed away. kwanini ulie wakati aliyefariki amepumzika and is in a better place than here. Hey sio kuiga lakini ukweli ni kuwa kama mtu amefariki don't cry so much. You have to appreciate life and when your time is up atleast waliobaki waseme duh atleast alikula maisha.... Okay
ReplyDeleteJamani kuvaa descent kwenye msiba si KOSA. Unaonyesha kumheshimu marehemu pia. Kwa nini uvae nguo yenye vilaka? Au kwa nini uwe unanuka kikwapa, na mdomo kutoa harufu mbaya kwa kisingizio tu cha msiba? Good hygiene ni kitu muhimu sana, regardless ya situation. Hata mbwa huogeshwa na kunukia.
ReplyDeleteHizi ni biashara za kufukia 'mashimo' tuu kwani hela hapo inagwanywa sana. Mfano kama Mziki utalipiwa laki mbili basi Mc hapo yake ni laki moja,mwenyemziki anachukua iliyobaki ila itabidi amlipe DJ labda 30,000, atalipa usafiri wa kwenda na kurudi usiku wa manane! Anabaki na hela kidogo za kujikimu. labda uwe na Miziki kama minne hivi unaweza zungumza kuwa unake kidogo.
ReplyDeleteWewe anony wa Thursday, January 04, 2007 4:11:12 PM.
ReplyDeleteInaonekana haukusoma vizuri alichosema Michu,hakusema kuhusu kupiga muziki,ameongelea vifaa!!! Alimaanisha mazishini siku hizi hutumia vifa vile kwa ajili ya vipaza sauti wakati wa kuzika maana kunakuwaga na ibada pamoja na lisala na historia kutoka kwa watu waliomfahamu marehemu au familia hivyo ile ni for Public addressing.
Acha uvivu wa kusoma na kupambanua mambo!! Au umechanganyikiwa na kubeba mabox?!!
Biggie.
wewe anony hapo juu mjinga,mimi nilizungumzia muziki kwenye misiba sikuzungmzia makaburini na the way watanzania tunavyohandle misiba yetu kwa ujumla,kwa sbabu ya ujinga wako unashindwa kujadili kile nilichoomba watanzania wanipe upeo wao wanalifikiria vipi?kwanini usiijadili hiyo maada badala yake unazungumzia habari ya kubeba maboksi unafikiri kila mtu anabeba maboksi,tatizo la sisi watanzania ndiyo hilo hata humu ndani ikiletwa maada ya maana watu wanjadili ujinga badala ya kuchangia kitu cha maana TUBADLIKE!
ReplyDeleteNakumbuka kwetu kyela zamani mtu akifa watu walikuwa hawavai viatu wala ndala kuonyesha uchungu walionao kwa marehemu.Sasa hivi wanalazimishwa kuvaa sababu kuogopa kukanyaga mavi,na mikojo vyooni misibani na kusambaza kipindupindu.Kuna mabadiliko misibani kuanzia vijijini hadi mjini.
ReplyDeleteHata wahudhuriaji siku hizi misibani ni wengi kunahitajika vipaza sauti.Kwa nini mtu ukauke sauti kuongea msibani? Kwa kipi hasa unachojikomba kwa marehemu.Vipaza sauti muhimu.
Kuhusu kuvaa nguo nzuri na miziki msibani siku hizi sababu kubwa ni kuwa watu Wengi siku hizi wanakufa kwa ukimwi. Sasa mtu ambaye kakutesa sana kuuguza akiwa na ukimwi akifa unashona sare za suti unaleta muziki unacheza hadi asubuhi kusherehekea kufa kwa mgonjwa aliyekupotezea muda na pesa kwa kumuuguza.
Ukimwi gonjwa baya wallahi limelenga pabaya kaa mbali nao.Utaadhirika hata ukiwa marehemu.
Jamani, sasa hivyo vyombo anaweka kwenye kaburi ya nani na nani! DUH! Lazima kasimama juu ya makaburi ya watu, nadhani si vizuri. Na vipaza sauti makaburi, wantakakuamsha wafu nini!
ReplyDeleteMichuzi, huyu kijana namfahamu anaitwa James Kasimbazi anafanya kazi kampuni moja ya usafirishaji shehena kwa makontena. Sasa ndio vipi, ... ameamua kujifunza disko makaburini?
ReplyDelete