
hassan mhelela (shoto) chaaaaz hilary (kulia) wa bbc wakiwa na robbie earle (nahodha wa zamani wa wimbledon) ambaye sasa ni mchambuzi wa soka wa itv ya ukerewe baada ya kumalizika kwa pambano la carling cup kati ya asenoo na chalsiii uwanja wa milenia huko kadiff juzi ambapo wana wa imarati walilala 2-1. ama hakika mhelela na chaaaz wanafanya mavituz mazito huko waliko kwani wakianza kutangaza mpira hutamani kuondoka. wabongo bwana! we acha tu...
nawafagilia jamaa, big up Tanzanians abroad.hawa ndiyo baadhi ya experts wa kitanzania wanaotuwakilisha nje ya nchi, professionally.
ReplyDeleteDuh Charles Hillary fanyia ukarabati ktk ile nyumba ya Sinza uliyokua unakaa Kaka...sasa ivi imekuwa Makazi ya Nyoka na POPO... Kuna cku utarudi Tz utaumbuka.
ReplyDelete