dar yazidi kupendeza kwa ukijani wake kila mahali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hapa siyo Dar bwana!!!! Wee sema tu kama umepita Mombasa ukabahatika kupiga kapicha haka. Nshafika salama nafikiri Bongo yako inazidi kushamiri. It was pleasure to have u around buddy, God bless

    ReplyDelete
  2. Hapa ni Dar au Bongo. Hongera sana mzee. It was pleasure to have u around, mi nshafika salama, hope we will be in touch

    ReplyDelete
  3. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  4. Samahani wana blogu au michuzi mwenyewew ukiweza, naomba unidodose hapa ni wapi?
    Shukrani

    ReplyDelete
  5. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  6. Hii ni Dar jamani hakuna ubishi ktk hilo mbona.jengo la kwanza kushoto ni ubalozi wa Canada.Jengo la kulia,ghorofa 3,ni la Wizara ya Afya-opposite na IFM,SAMORA AVENUE.Jengo lenye bati jekundu ni la balozi za Finland na Sweden na linalofuatia,nyuma kushoto ni Umoja House-ambako kuna balozi za EU,UK,the Netherlands,etc.Jengo refu,katikati kulia,ni International House-ambako kuna Standard Chattered bank branch,Mitsubishi,Delotte&touche,n.k.Na jengo la mwisho kulia,linaonekana kipande,ni Holiday Inn.Picha hii imepigwa tokea jengo la NIC(KITEGA UCHUMI).Barabara ionekanayo hapa ni Milambo ambayo inakatiza Samora avenue(kwenye kona kulia) na Garden(kati ya balozi za finland&sweden) na Umoja house na inaishia BOT-Kilimanjaro Kempisiki hotel.Kati ya Umoja house,International House na Holiday Inn ni maeneo maarufu sana kwa misosi ya mchana(lunch)kwa wafanyakazi wa maeneo hayo ya posta hasa hapo kwenye magari yaliyoegeshwa(katikati ya miti mingi)-KWA MAMA MUSHI,mambo ya ugali mbuzi choma,ugali samaki,bamia,nyanya chungu,firigisi,etc.Jamani namiss mambo matamu,sijui nipae nirudi? lakini nitafanyaje ilhali nimeshajilipua huku! MZEE WA BARE!

    ReplyDelete
  7. Hapo ni mitaa ya kati City Centre, kwa mbali unaiona International House na Umoja house yenye paa la mawimbi

    We anon unayesema hapo sio Dar, inaonekana umeondoka siku nyingi sana. kama umeondoka siku hizi, basi yaelekea uliondoka na basi ukaenda kupandia ndege Mombasa, haujazoea kuona Dar kwa juu kama picha hiyo ilivyo

    Ha ha ha ha ha

    Hapo Dar acha ushamba hata nchi yenu haujui

    ReplyDelete
  8. naungana na maelezo yote ya anonymous 4:29 am hapo juu, ila naongezea kimoja.kwenye magari mengi kushoto mwa wizara ya afya ni maegesho ya wafanyakazi wa benk kuu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...