mandhari ya msasani peninsular leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Tanzania, Tanzania,
    Nakupenda kwa moyo wote,
    Nchi yangu Tanzania,
    Jina lako ni tamu sana!!
    Nilalapo nakuota wewe,
    Niamkapo ni kheri mama weeee!!!!
    Tanzania, Tanzania,
    Nakupenda kwa moyo wote!!!!!

    Jamani mwenzenu mimi ni Mzalendo. Kwa kweli nionapo picha ya mandhari nzuri kama hii hapa juu, kweli ninachanganyikiwa. Mr. Michuzi asante sana.

    Tanzania inapendeza, inavutia na juu ya yote, ni nchi huru isiyokuwa na mizengwe.

    Mimi nasema hivi, TANZANIA NI NJEMA, KILA ATAKAYE NA AJE!

    Tanzania ya leo si ile ya miaka ya 80 ya kupanga foleni za sukari. Kila kitu kipo. Kila standards zipo, hasa kwa wale ambao ni waoga wa kutokupata standards wanazozihitaji. Ni pesa yako tu. Ilivyo ni kwamba fanya kazi kwa bidii, hayo yote yapo. Tena unaweza kukuta at a better price.
    Hapa bwana ni kufanya kazi kwa bidii, kujenga taifa letu, kuenjoy maisha na ndugu, jamaa na marafiki kwa siku ambazo Mwenyezi Mungu ametujalia hapa duniani. Utakuja kusema ume-enjoy lini your motherland na mchango wako je?

    Nawatakia wote kila la kheri na mafanikio katika maamuzi yenu na shughuli zenu za kila siku.

    Oh, Tanzania my motherland, nakupenda sana!!!

    MUNGU IBARIKI TANZANIA,
    MUNGU IBARIKI AFRIKA.

    ReplyDelete
  2. michuzi i love this pic nzuri mno! ila naomba kutoa ushauri pale photo point jamani weka air conditioner pale reception nimeingia jana kuna feni kubwa linaudhi mno haliendani na pale au kaubahili kakununua luku? hebu shughulikia bwana you got a ncie place weka unyunyu bwana. mie mteja wkao mzuri i love the studio u re doing a great job.

    ReplyDelete
  3. Duuuu!! Wallahi! Utadhani Mississippi!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...