kocha mpya wa yanga micho toka serbia. bundi keshalia jangwani kwani kuna bonge la gogoro linafukuta huko hivi sasa ambapo kuna malumbano makali kati ya faksheni za klabu hicho za kampuni, asili na akademia. kaaaazi kwelkwel...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. siku zote nulikuwa nasikia yanga asili na yanga kampuni,sasa hawa akademia nao wametoka wapi????

    ReplyDelete
  2. Yaani Malinzi kuongea na waandishi wa habari ndiyo tayari mgogoro unafukuta? Sasa na huko Simba ambako Mwenyekiti na Katibu hawaelewani tutasemaje?

    ReplyDelete
  3. mchizi kakaa kisanii kiaina, huyu itabidi wadhibitishe vyeti vyake anaweza kuwa anajiripua tu na si wabongo tunaamini sababu ya ngozi yake

    ReplyDelete
  4. Misupu! unaomba kweli mgogoro utokee Yanga. Simba mlie tuu, huu ni mwaka wetu kuwakamua.

    ReplyDelete
  5. yaani ili mradi mzungu tu hivi ana makaratasi huyu kweli?

    ReplyDelete
  6. Michuzi,,, kwa hakika hizi picha zako zinafurahisha sana!! Ukianzia Nangurukuru kwenu kule mpaka JK na BWM kwenye meza moja,,,,, kwa kweli ni raha tupu!

    ReplyDelete
  7. We Michuzi hii kituko umetoa wapi!? hawezi kuwa kocha. Sura kakunja kama vile kashikwa na Rift valley Fever au kichocho cha Ng'ombe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...