Home
Unlabelled
micho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
siku zote nulikuwa nasikia yanga asili na yanga kampuni,sasa hawa akademia nao wametoka wapi????
ReplyDeleteYaani Malinzi kuongea na waandishi wa habari ndiyo tayari mgogoro unafukuta? Sasa na huko Simba ambako Mwenyekiti na Katibu hawaelewani tutasemaje?
ReplyDeletemchizi kakaa kisanii kiaina, huyu itabidi wadhibitishe vyeti vyake anaweza kuwa anajiripua tu na si wabongo tunaamini sababu ya ngozi yake
ReplyDeleteMisupu! unaomba kweli mgogoro utokee Yanga. Simba mlie tuu, huu ni mwaka wetu kuwakamua.
ReplyDeleteyaani ili mradi mzungu tu hivi ana makaratasi huyu kweli?
ReplyDeleteMichuzi,,, kwa hakika hizi picha zako zinafurahisha sana!! Ukianzia Nangurukuru kwenu kule mpaka JK na BWM kwenye meza moja,,,,, kwa kweli ni raha tupu!
ReplyDeleteWe Michuzi hii kituko umetoa wapi!? hawezi kuwa kocha. Sura kakunja kama vile kashikwa na Rift valley Fever au kichocho cha Ng'ombe!
ReplyDelete