jk akiwa na mdau wa michezo aishiye ukerewe israel saria jijini landan jana. saria, ambaye ni katibu mkuu wa zamani wa chama cha mpira wa wavu bongo (tava), anaendesha pia tovuti hii

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. DUU KAKA LANGU HILOOO.... KIMEELEWEKA AU??

    ReplyDelete
  2. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  3. Huyu bw alijitahidi sana kuinua kiwango cha mpira wavu mkoani Dodoma, katika shule za msingi na sekondari, akiwa na Mwaluisi, Edwin masinga, Mwl Kobello, Rock felician, Rose Rwechungura na Suzzan Nkurlu, kinachonishangaza Tanzania nikuwa baadhi ya watendaji wakiondoka au kwenda masomoni zile jitihada zao zote zinapotea.hongera Mhe Rais Kikwete kukutana na kujadiliana na wanamichezo tofauti na Mpira wa Miguu. ni imani yangu kuwa Saria atakuwa amemuomba Mhe Rais asaidie kurudisha mashindano ya umitashumta na umiseta na Bonite, maana ndio kilio kwenye makala zake nyingi za Michezo.

    ReplyDelete
  4. Saria unatakiwa urudi Tanzania sasa ili pamoja na John Zambetakis, Muharam Mchume, Adam Gwao, Jacob Sombe, Mama Kobelloh, Henry Mwaluis, Rehema Munga na Gilbert Uisso mfanye kaziya nguvu ili kurudisha heshima ya mpira wa Wavu, enzi zenu za uongozi walimu tulipatiwa mafunzo mbalimbali ya ukocha, uamuzi nk, pia mashindano yalikuwepo mengi, kombe la bonite, nyerere cup, klm, masumini, taifa cup nk, pia safari za kenya, uganda zilikuwa kama kazi.
    Siku hizi ni ubabaishaji tu..maendeleo ya mpira wa Wavu hakuna kabisa ni imani yangu kuwa siku moja Rais atalizungumzia hili la michezo inayoitwa midogo, au labda umeongea naye juu ya hili, tuambie

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...