shaba ya kupikia pilau la shughuli likipelekwa eneo la tukio huko zenj

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Hapana shaka hata Biriani laweza pikwa humo!

    ReplyDelete
  2. Michuzi huo uchokozi ndugu yangu. Unajua tulio ughaibuni hilo shaba la nguvu ni adimu sana. Sasa ukionyesha zana kama hizo, zinaleta kumbukumbu na simanzi kali.

    ReplyDelete
  3. Asante sana michuzi mambo ya cheche hayo!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...