Home
Unlabelled
theluji
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hi Mr. Michuzi,
ReplyDeleteTunashukuru kwa kutuletea ma-snap ya huko kuona jinsi theluji inavyodondoka, na nawafagilia dada Mariam na mwanae wamependeza sana. Ila ninachouliza sasa picha ni lazima iwe ya mtu kama hii ya huyu dada na mwanae inatuwakilishia nini na inatusaidia nini? Ukitaka kutuwekea tuone theluji hatuhitaji picha ya mtu tuonyeshe yenye kwenye milima huko.
wewe anoni kwani kimeongezeka nini na kimepungua nini kuweka hiyo picha ya huyo mdada hapo, acha ujinga wee. yaani sie wabongo sijui kwa nini tupo hivi, kwani wewe umekatazwa kumtumia michuzi picha yako au ulimpa akakataa ? acha roho mbaya kiasi hicho chinga wewe !!
ReplyDeletemichuzi na wewe kwa lugha za manzese my totoz wake ndiyo nini?
ReplyDeleteNAMSAPOTI ANONYMOUS WA KWANZA.
ReplyDeleteMICHUZI UNATAKA KUONYESHA THELUJI, ONYESHA THELUJI, PICHA YA HUYO DADA NA MWANAE INATUHUSU NINI, HAILETI MAENDELEO YEYOTE KATIKA JAMII. ILA TU KUONYESHA JINSI WALIVYOZAMIA NA KUJIFANYA MAREFUJII HUKO LONDON. ILI WATUNZWE NA MTOTO WAKE.
pamoja na mambo mengine blog huwezesha watu kufahamiana na marafiki waliopoteana kukutana.kama hapa marafiki wa mariam watajua kuwa sasa hivi ana mtoto mzuri sana na sisi wengine tutajua kuwa ukerewe kuna dada yetu anaitwa mariam.mariam huyo "uncle" muwezesha kuongea kiswahili.
ReplyDeleteKuona picha katika mazingira mbalimbali mfano huyu dada yetu katika 'park' iliyofunikwa na theluji inatuelezea mengi kuhusu msimu wa baridi Uingereza. Tungepewa maelezo tu bila picha kuelezea msimu wa baridi huko Uingereza tusingeelewa zaidi. Hii picha inatueleza yakuwa inabidi uvae nguo rundo na makoti mazito ikabiliana na baridi. Hivyo na mie natarajia kwenda ulaya kwa mara ya kwanza picha hii itanisaidia nijiandae vyema. Pia hata kama hutaraji kwenda ulaya unapata picha halisi mtu akisema 'ulaya jamani kuna baridi', asante dada yetu kwa picha yenye habari lukuki
ReplyDeletehajui maana ya blog huyo, si umeona mwenyewe anaulizia eti "picha hii inatusaidia nini" badala ya kujiuliza picha hiyo inamsaidia nini Bw Michuzi na Blog yake! Fungua Blog yako uweke mambo yako ya maana tutakuchangia mawazo. Maryam picha bomba, theluji adimu Ukerewe zama hizi za Global warming, ifurahie kabla haijaishia, mambo kama haya yanaondoa lile vumbi la enzi zetu Kigurunyembeeeeee! we acha tu.
ReplyDeleteAnony wa kwanza acha upuuzi.
ReplyDeleteKama unataka na wewe picha yako ibandikwe na wewe tuma!
Ish!
Kweli baridi ni kali mno. Ila namwomba Bi Mariam akumbuke kuziba shingo sawasawa na scarf, pamoja na kuvaa gloves yeye na mtoto. Madhara ya kudharau vitu hivi vidogo ni makubwa sana.
ReplyDeletemariam mtoto wako mzuri sana sanaa jamani,amefanana sana na baba yake ana some features zako lakini 75% baba yake.
ReplyDeleteMWANANGU NDIO KICHAAA KABISA YAANI BARAFU NI BALAA LINAMWAGIKA MPAKA TUNASIKIA HARUFU YAKE TEHETEIIIEEE
ReplyDeletewenye wivu wajinyonge, kama kawaida wenye wivu watachonga, pelekeni picha zenye kwa michuzi kama alivyofanya dada mariam na zitatolewa, acheni majungu yasiyo na msingi, maana ya blog ni kupeana taarifa mbalimbali zinazotokea sehemu mbalimbali duniani iwe kwa maandishi au kwa picha, sasa kwa picha hii ya mariam inaelezea jinsi theluji ilivyokuwa kali katika siku hiyo. Nakushauri wewe uliyetuma maoni yako ni bora uangalie taarifa za habari na kusoima magazeti na mtandao ili ujue dunia inavyokwenda.
ReplyDeleteMbona picha nyingi tu humo za watu kwni kuna picha za misitu ndugu wivu tu huo wamuone dada Mariam na totoz wake wamependeza basi wewe imekuuma acha kuchonga.Mwachaeni asome na aendelee kutupa habari za ukerewe au hujui kuwa yeye pia ni mwanahabari.
ReplyDeletethanx michuzi kwa pic ya dada mariam, kwanza nimefurahi kumwona hapa baada ya miaka mingi,
ReplyDeletena nyie wote mnaolalamika kwamba kwa nini michuzi kwamweka dada huyu, ni kwa vile hamumju, huyo dada ni jina kubwa tz 'mariam komanya' mtangazaji wa televisheni ya taifa 'TVT' nyie mliojilipua kwenye nchi za watu hamumjui ndo manake,
hongera kwa mtoto mzuri mariam.
HAMNA CHA KUONGEA? MTOTO MZURI MTOTO MZURI, NAONA HAMJAONA WATOTO WAZURI NYIE. AAAAAAAAH! ACHENI USHENZI HAPA. TOA MAONI YA THELUJI HALAFU ONDOKA ZAKO.
ReplyDeleteJamani kama mtu anapenda kuweka picha yake huku, macheni aweke. Majungu ya nini? Ila huyo anayesema huyu ni jina kubwa TZ amechemsha. Ndugu yangu nchi hizi za watu majina unayaachia airport. Ukishakanyaga hapa jina la baba, la babu halikusaidii kabisa.Huku ni mikono yako na akili yako ndio msaada wako...Muulize Njaidi Othman Njaidi jina limemfikisha wapi huko US
ReplyDeleteBrandmuge
ReplyDeleteUna maana gani unaposema huyu dada jina kubwa? yeye kuwa mtangazaji wa TV unaona mtu mkubwa Asie pole sana kwa mawazo finyu..Sasa kama huyu mtu mkubwa JE? TV starts kama L. King,Ophra..,ambao audience yake in world wide wasemeje?.wewe unaenda kumsifia mtangazaji wa TV inayofanya kazi masaa sita na haina format structure , ni kuweka kaseta inaenda tu ,hiyo TV bongo ni kichekesho tu.hacheni utani nyie sie bado hatuesabiki kama tuna television .Muulize huyu dada yako kwenye international broadcasting analysis kama hiyo TV yake iko included kwenye list za Government television...msipende kulipuka kuna watu wanajua vitu humu////////Mtu wa Pamba
Ktk context ya Bongo na eneo la maziwa makuu TVT na dada Mariam ni JINA KUBWA... Acheni kutangaza na kujivunia vya wenzenu eti kina Larry King...
ReplyDelete'Charity begins at home'
Huu ni utumwa au umaskini wa mawazo (kwa kuponda vya nyumbani kwenu! na bado mnalilia uraia wa nchi mbili baada ya kuzamia huko mliko... huku mnaponda kwenu!!!)
This comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteNi wachache sana kati ya nyie wachangiaji niliogundua kuwa mna akili timamu, kwanza kabisa Mariam nakupongeza sana kwa masomo yako najua unafanya vizuri sana masters yako, pili nakupongeza kwa kuwa mama na mke mzuri katika familia yako, tatu naomba uachane na hao wachangiaji waliopita najua elimu ndio iliowafanya waandika waliyoandika, ila kutoa picha yako hapo sisi wasomi wenzio tumeelewa maana yako, your baby is very cute really!!!!!
ReplyDeletetoto toto jameni yaani we acha tu,kaka michuzi nimesikia amepata mtoto mwingine na vilevile amepata uraia wa uingereza je ni kweli au redio mbao! Hongera dada yangu
ReplyDelete