
juma nature na kundi laked jipya la wanaume halisi wakiashiria ujio wa albamu yao yenye nyimbo 14 itayokwenda kwa jina la 'ndege' tunduni ukiwa ni ujumbe kwamba baada ya kutengana na kundi la wanaume tmk sasa hawamo tunduni tena na wako huru kisanii...kwa kweli hatua hii imezua biff kubwa baina ya makundi haya na ushindani ni wa yanga na simba na vijembe vya kufa mtu. lakini vita ya panzi, furaha ya.....
MICHUZI, speed yako ya kublog ni ya kasi, naona umewa outweigh watoa comment. Au huzirushi?
ReplyDeleteNature kadogo dogo lakini mambo yake kweli makubwa. Ukimuona huwezi dhania he is a really mover and shaker in Bongo Flava
ReplyDeletepalipo na ukweli, uongo hujitenga na mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.nature ni mtu wa pekee sana kati ya wanamuziki wote wa kizazi kipya ni mtu wa watu na mtu mwenye utu. Kitu ambacho naweza kusema tamaa zao hao TMK waliobaki zitawafikisha pabaya.kwani kupanda ni shda na kushuka ni rahisi, hivyo walipanda kwa ajili ya nature na watashuka kirahisi as the boy is not there but kitu ambacho najua ni kuwa akina temba, kr wote nao watakuwa independent soon or later as nature ni mtu ambaye alikuwa anawahold together kwa kutumia talent yake.
ReplyDeletehivyo mi nachoweza kusema nature hana kosa na ataendelea kubaki the nature we know and like whatever techniques za kutaka kumlet down. Ila wanachotakiwa kujua ni kuwa CV ya nature inajulikana from long time before, hence kutaka kumfanya aonekane mbaya wanajiaibisha wenyewe tu, kwani sasa tunawaona ni watu wa tamaa, hasa huyo mchaga temba.
palipo na ukweli, uongo hujitenga na mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni.nature ni mtu wa pekee sana kati ya wanamuziki wote wa kizazi kipya ni mtu wa watu na mtu mwenye utu. Kitu ambacho naweza kusema tamaa zao hao TMK waliobaki zitawafikisha pabaya.kwani kupanda ni shda na kushuka ni rahisi, hivyo walipanda kwa ajili ya nature na watashuka kirahisi as the boy is not there but kitu ambacho najua ni kuwa akina temba, kr wote nao watakuwa independent soon or later as nature ni mtu ambaye alikuwa anawahold together kwa kutumia talent yake.
ReplyDeletehivyo mi nachoweza kusema nature hana kosa na ataendelea kubaki the nature we know and like whatever techniques za kutaka kumlet down. Ila wanachotakiwa kujua ni kuwa CV ya nature inajulikana from long time before, hence kutaka kumfanya aonekane mbaya wanajiaibisha wenyewe tu, kwani sasa tunawaona ni watu wa tamaa, hasa huyo mchaga temba.
bange mtu, sijui miziki yao inafundisha nini
ReplyDeleteThis comment has been removed by a blog administrator.
ReplyDeleteYaani ww anonymous Saa Saturday, February 24, 2007 9:26:00 PM, Mtoa Maoni: umenifurahisha kit kimoja kwanza umesema ukweli uliopo kati ya Nature na wakina Temba na Kr pili nahisi huu mwaka hauishi bila kundi la hao wakina kr kufa couz hawana ushirikiano na sijasikia kama wamepiga shoo sehemu,Nature ni nature na huo wimbo wa tunduni safi sana nawapa big up wanaume kundi la Nature.Namkubali kiroboto kwa sana tu.safi hiyo.reen_minja@yahoo.com
ReplyDeletemichuzi mi nafikiri wewe kama businessman ni mtu ambaye unatafuta opportunities, kwa maneno mengine inorder to win a competitive advantage( ushindani wa kibiashara)you need to go hand in hand with your suppliers, competitors, and customers.
ReplyDeleteJuma nature(with his crew) ni nafasi nzuri ya kufanya business. kwa nini nasema hivyo? kwanza ni mtu ambaye always like to understand others first and later be understood hivyo hiyo inakupa nafasi nzuri sana ya kuweza kufanya mazungumzo kwa marefu na mapana na kuelewana naye kirahisi.
pili ni mtu ambaye mkishaelewana anaput all the trust on you na kinachobaki ni wewe kuprove that you are trustfull in kwa kipindi flani. hivyo ni mtu ambaye kama mna makubaliano flani ya kazi mtafanya kile mlichokubaliana kwa mda mrefu labda tu iwe wewe kwa kudhani uaminifu wake ni weakness na kwa kuwa yeye anademand average uingiwe na tamaa ya kutaka kwenda kinyume na makubaliano.
kwa hiyo michuzi kuwa ka arsene wenger( Ona potential ,endeleza, siku ya mwisho faida ni kwenu wote). namaanisha nini? Wewe michuzi paka sa hivi ka nilivyoandika juu utakuwa ushaiona potential ya nature, mshauri, mwendeleze in his potential pale unapoona mnaweza kushare the same interest kwa mfano yeye ni charismatic, mwambie ajue ni kwa nini yeye yuko hivyo na kwa jinsi gani anaweza akabaki na kujifungua zaidi jinsi alivyo at last akishajijua basi na wewe unaweza ukafaidika kwa like advertisements za photopoint, na kwa kuwa umemuendeleza in his potential( which interacts with your interests) basi utapata kilicho bora zaidi kwa jinsi atakavyoadvertise photopoint na yeye atagain in some point.
je hii advertisement itakuja tu ghafla, haiwezekani lazma iconnect na watu ili ilete maana, kwa mfano METL( mo )alipoingia mkataba na simba first alijua ni timu inayopendwa na watu wengi, akaona potential( where they share interest),akaiendeleza.lakini akijua uwanja wa mpira ndipo simba inapoonekana,na kupendwa basi simba ikawa inavaa jezi zilizoandikwa METL.Sasa hapo picha kamili ikawa imetengenezwa kwa hiyo hata kama litakuja tangazo sasa kwenye tv kwamfano Pawasa anaadvertise METL product itamake sense,mfano mtu atasema, ok, pawasa ana misuli, anatumia unga wa kupikia wa METL,atajiuliza hii ni kweli? labda anafanya mazoezi sana? mwenzie atamjibu au atajijibu, ni kweli si unaona pawasa anachezea simba na simba inafadhiliwa na METL, umejuaje au nimejuaje? check jezi.namaanisha nini? kwa kuwa nature ni mwanamziki na sasa wanaitwa wanaume halisi you can use that chance kuweka logo yako kwenye t-shirt zao na hivyo watakavyokuwa wanaenda kupiga show inaonekana na mambo mengine yataenda kama mfano wa hapo juu.
nina ideas nyingi lakini tunaweza kuwasiliana kwa email dngirwa@yahoo.co.uk.( Derick au TMK BONDENI at university of cape town). nipe email yako pia tafadhali.
mh yangu macho.
ReplyDeleteNature ana histori ndefu sana kama mtu humjui hebu uliza mtu anaejiita BABU, au INSPECTOR HAROUN yupo wapi mbona hasikiki? huyo ndio alikuwa kizazi kimoja na Nature Hapo zamani za kale. Sasa yaliyomkuta ferouz tungoje na TMK, Yaani kwa ufupi hamta sikika kwa sababu nature sifa yake kubwa ni MWANANGU MWANANGU yaani kwa mzaramo anajua maana yake nini
ReplyDelete