rais amani karume wa znz akiangalia vitabu baada ya kufungua warsha ya kitengo cha huduma ya sheria zenj kwenye hoteli ya bwawani leo. nyuma yake ni profesa haroub othman na waziri shaaban

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  2. Mzee Karume,

    Ni wakati sasa upeperushe bendera katika kuhamasisha usomaji wa vitabu. Ni wakati viongozi wetu muwape watu hamasa katika kuyatafuta maarifa ya kujiletea maendeleo kwa kusoma vitabu. Ni kupitia maarifa yatokanayo na vitabu ndiyo tutaweza kuwa taifa linalojitegemea, taifa la watu wanaoamini na kutenda katika demokrasia ya kweli. Vitabu kwa maendeleo ya utu wa Mtanzania.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...