yusuf wachira (kulia) nilibukua nae berlin miaka hiyo. huyu bwana ni mmoja wa wapiga picha ninaowaheshimu ist afrika mashariki. wakati huo alikuwa gazeti la nation la watani wetu wa jadi nasikia sasa amestaafu na anafanya shughuli zake mwenyewe. huyu bwana anaijua kamera mbele nyuma

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...