nipo hapa nanihii nikinanihii kwa muda... wikiendi nitakuwa dar

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Kikwete kakubeba tena. Kweli una haki ya kuwa na photo point

    ReplyDelete
  2. kuna jamaa alikuwa hapo hivi karibuni.ameniambia pembeni ya hayo majumba mazuri kuna watu wanaishi kwenye nyumba za maboksi!

    ReplyDelete
  3. Naona umekula pipa la bure tena ndani ya kwa mzee madiba siyo..Du powa tu lakini Kikwete mwambie apunguze safari za nje maana hatari si kutumia pesa za walipa kodi pekee bali chance za ajari angani zinakuwa kubwa.

    ReplyDelete
  4. Sasa naamini Michudhi utakuwa unatuchukia sisi tunaopinga hizo safari za Mh JK. Lkn mkuu kumbuka kufanya jambo la maana kwenye hizo savings zako.

    ReplyDelete
  5. We anony hapo juu unadhani Michudhi kama wewe ulieenda majuzi huko uliko? Mwenzenu kaanza kupaa hata kabla ya JK, hii kumjua juzi imekuwa nongwa? Kwa taarifa yako nimeenda Bongo majuzi na kumkuta jamaa yuko sawasawa, na saa ingine anapaa kivyake,tena business class. Sio kama wewe unapanda third class ama economy. Hivi kwa nini waswahili kujifanya kujua kila kitu? Jitokeze tuone wewe unafanya ama umefanya nini. Michudhi achana nao haters hao, wanakuonea gere, WATAJIJUUUUU!!!!

    ReplyDelete
  6. misupu mmesharudi na jk kutoka bondeni?hizo safari za jk zina ulakini,halafu unatushauri turudi bongo kiongozi anapaswa awe mfano mzuri lakini kwa staili hizo ndiyo maana watu waejilipua huku viwanja sababu bongo ni nchi ya kidhuluma,mambo yanaondelea hapo yanakera sana,mi nitakuja likizo tu,tupo kwenye nchi za watu ambazo zina haki kwa mtu wa chini ata ukiwa foreigner.god bless america.

    ReplyDelete
  7. MIMI SWALA LA JK LA KIGUU NANJIA LINANIKERA SANA,NAONA BADO KAZI YA UWAZIRI WA MAMBO YA NJE ANAITAKA, RAIS MZIMA UNAJUWA CHAIN OF COMAND KWANINI USIMTUMIE VP, AMA FOREGN MINISTER KUMALIZA DEAL NDOGO NDOGO? MAANA RAIS SI LAZIMA UENDE KILA SEHEMU UNAKUWA UNAJIPUNGUZIA UZITO..UNATAKIWA BWANA JK KUWA NA NYODO AND THAT WHEN YOU'LL GET YOU PRICE TAG HIGHER.

    ReplyDelete
  8. Hivi Michuzi una miaka mingapi kwani naona umeanza kuwa kijeba, inawezekana wewe na Kikwete ngoma droooo ndo nyote mko kwenye fainali mnamalizia miaka ya kufanya kazi na kwenda kwenye Pension list. Ndo fainali hiyo michuzi lakini bora umeshaweka Fotopoint si haba.

    ReplyDelete
  9. This comment has been removed by a blog administrator.

    ReplyDelete
  10. KUMPEBADO MCHINGA KISEZI UNAPIGA PICHA KWENYE MAGOROFA HILI!?

    ReplyDelete
  11. jamani kaka michuzi si viedi hivyo, kaka Chella anakutafuta sana jamani ukija ukerewe tena mtafute mwenzio amekukosa sana. Anataka kukukumbushia mambo matamu ya enzi zenu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...