
ally abdulrahmani maarufu kama alison ni mchezaji wa kibongo wa kulipwa timu ya daraja la tatu ya Sköndal jijini sitokihomu, uswidi. straika wa kutegemewa wa timu hiyo na endapo atajaaliwa anaweza kutoa mchango kwa taifa staaz endapo ataitwa. Hapa anakula pozi na kikosi chake mwanzoni mwa msimu huu na tayari keshatingisha nyavu mara kadhaa


Habari Michuzi!
ReplyDeletePicha hii uliyoipandisha hapo inaonesha kuwa kuna wachezaji wengi sana wa bongo wanaosakata kabumbu Uropa lakini hawatambuliwi kwa kuwa hatuana kawaida ya kutambua nini tunapaswa tufanye. Picha hii itawaamsha
kula mwanangu ndo maboksi yenyewe yanayowaumiza walio bongo.kila mtu akiwa ukerewe anadaiwa kubeba boksi!mnaona wachovu wa bongo mambo kama kumsukuma mlevi.piga boli mwanangu bongo usicheza fitna tupu
ReplyDelete