hii ndo familia ya mzee juma inayomtegemea kwa kila kitu...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. MIMI NITAWACHANGIA NA NATOA SHUKRANI KWA WOTE WALIO ONYESHA MOYO NA UPENDO HII INAONYESHA KUKAA NJE YA NCHI SIO KWAMBA HATUNA UPENDO NA WATANZANIA WENZETU, KWA TAARIFA TUNAWAPENDA NA KUWATHAMINI. INAKUWA JAMBO LA KUSHANGAZA HAO WASOMI WALIO NA UPEO WAKUANGALIA DUNIA INAVYO KWENDA WANAONYESHA ROHO MBAYA RAISI MWENYEWE ALITUOMBA TUSIKIAPO UWEZEKANO WA NAFASI ZA KAZI TUWASAIDIE WENZETU AMEONA MBALI NA ANAJUA MWENENDO WA DUNIA. ACHENI MAWAZO YA ROHO MBAYA .

    ReplyDelete
  2. Mambo ya kuchangishana ni kizamani. Kumsadia huyu mzee ni kumtafutia kazi ili apate hizo hela. Michuzi vipi hapo daily News mzee si alikuwa registry clerk...kazi hizo zipo hapo nauhakika. Kumchangia sio ufumbuzi wa kudumu, kesho tena atakuja kuomba tumchangie mtoto aende shule. MTAFUTIENI KAZI TAFADHALI!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...