
hii ndo anuani ya akaunti ya benki ya mzee saidi kwa msamaria yeyote (hasa idhaa ya kiswahili ya bbc) atakayejisikia kumsaidia. huu mwandiko ni wake yeye mwenyewe nami ni kama tarishi wake tu. shime wadau tujipigepige tumsaidie mzee saidi. mie binafsi pamoja na kumleta hapa bloguni nina mpango wa kupeleka 50,000/- kwenye mfuko wake huo mlemavu huyu jasiri
Mambo ya kuchangishana ni kizamani. Kumsadia huyu mzee ni kumtafutia kazi ili apate hizo hela. Michuzi vipi hapo daily News mzee si alikuwa registry clerk...kazi hizo zipo hapo nauhakika. Kumchangia sio ufumbuzi wa kudumu, kesho tena atakuja kuomba tumchangie mtoto aende shule. MTAFUTIENI KAZI TAFADHALI!
ReplyDelete