miss universe tz 2007 flaviana matata kesho analikwaa pipa kuelekea mexico kuwakilisha nchi kwenye miss universe. hapo yupo katika shoo ya namaste ya mustafa hassanali mapema mwaka huu. mustafa anafanya vitu vyake tena hivi karibuni kama inavyojieleza hapo chini




TIGO " MAMA AFRIKA "
By
Mustafa Hassanali
An African Couture
FASHION SHOW
With a twist
On 4 May 2007
@ Moevenpick Royal Palm
Dar es Salaam
@ 2000HRS

Dress Code : AFRO CHIC

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. I hope utaingia hata top 1000.

    ReplyDelete
  2. What an unflattering photo! How can she win Miss Universe looking like a starving Sudanese woman?

    ReplyDelete
  3. shule anaenda lakini? urembo bongo bila shule ........

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...