There was this case in Kenyatta National Hospital Intensive Care ward where patients always died in the same bed and on Sunday morning at 11a.m., regardless of their medical condition.
This puzzled the doctors and some even thought that it had something to do with the supernatural. No one could solve the mystery.......... as to why the death at 11am?
So a world-wide expert team was constituted and they decide to go down to the ward to investigate the cause of the incidents. On the next Sunday morning few minutes before 11 a.m. ...all doctors and nurses nervously wait outside the ward to see for themselves what the terrible phenomenon was all about.
Some were holding wooden crosses, prayers, books and their Objects to ward off the evil......
Just when the clock struck 11...
Mukhobero Wepukhulu , the part-time Sunday sweeper, entered the ward and unplugged the life support system so that he could use the socket for the vacuum cleaner....
Moral of the story: If you think education is expensive try ignorance
This puzzled the doctors and some even thought that it had something to do with the supernatural. No one could solve the mystery.......... as to why the death at 11am?
So a world-wide expert team was constituted and they decide to go down to the ward to investigate the cause of the incidents. On the next Sunday morning few minutes before 11 a.m. ...all doctors and nurses nervously wait outside the ward to see for themselves what the terrible phenomenon was all about.
Some were holding wooden crosses, prayers, books and their Objects to ward off the evil......
Just when the clock struck 11...
Mukhobero Wepukhulu , the part-time Sunday sweeper, entered the ward and unplugged the life support system so that he could use the socket for the vacuum cleaner....
Moral of the story: If you think education is expensive try ignorance


Haa haaa we Michuzi hiyo story nilisoma seminari kwenye somo la falsafa mambo ya logic reasoning. Umenikumbusha mbali sana tee hee tee hee.
ReplyDeleteZumba's
Michuzi,
ReplyDeletehuu ni ufala sasa..
huu "muungano" hauna maana kabisa.
hebu angalia hii article ambayo ipo ktk site ya Tanzania daima
Zanzibar waikataa sheria ya rushwa
na Mwandishi Wetu, Zanzibar
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imesema sheria mpya ya kupambana na rushwa, iliyopitishwa na Bunge juzi jioni, haitafanya kazi Zanzibar kwa vile hilo si suala la Muungano.
Hayo yalisemwa jana na Mwasheria Mkuu wa SMZ, Idd Pandu Hassan, alipokuwa akizungumza na Tanzania Daima, katika viwanja vya Baraza la Wawakilishi mjini Unguja.
Alisema kwamba, ili sheria hiyo iweze kufanya kazi visiwani humu, ni lazima ipate baraka za SMZ na baadaye kuridhiwa na wajumbe wa Baraza la Wawakilishi.
Kauli hiyo ya Pandu, kwa maana nyingine, inaongeza utata katika masuala yanayohusu Muungano, hasa ikizingatiwa kuwa, Bunge la Jamhuri ya Muungano lililopitisha sheria hiyo juzi, lina wawakilishi kutoka majimbo yote ya Unguja na Pemba.
Kwa upande wake, Pandu alisema masuala ya rushwa si ya Muungano, hivyo serikali mbili lazima zishauriane juu ya sheria hiyo, kabla ya kufanya kazi Zanzibar.
Alisema hayo baada ya baadhi ya wabunge, wakiwamo wale wa kutoka Zanzibar, kushauri sheria hiyo ihusishe na Zanzibar, kwa vile pia kuna tatizo kubwa la rushwa.
Wabunge hao walisema kwamba, kwa kuwa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano, si vizuri sheria hiyo kuitenga Zanzibar, kama serikali kweli imeamua kupambana na rushwa.
Hata hivyo, wakati Zanzibar ikihoji kuhusu hilo, hivi karibuni SMZ ilieleza kuridhia kupokea mamilioni ya fedha za mikopo kwa wajasiriamali, zilizotolewa na serikali na kupitishwa na Bunge pasipo kuhoji iwapo uamuzi huo ulikuwa wa upande mmoja.
Tangu Serikali ya Awamu ya Nne iingie madarakani, Waziri Mkuu, Edward Lowassa na Waziri Kiongozi, Shamsi Vuai Nahodha, wamekuwa wakikutana kuzungumzia kile kinachojulikana kuwa matatizo ya Muungano.
Hivi karibuni, rasimu ya sheria ya mamlaka ya kupambana na rushwa na kuweka maadili ya viongozi, ilikwama kupitishwa na Baraza la Mawaziri kwa madai kuwa, ilikuwa bado haijaiva na nchi ilipaswa kuchukua uzoefu katika nchi za Jumuiya ya Madola.
Hadi sasa, rasimu hiyo imewasilishwa mbele ya Baraza la Mawaziri zaidi ya mara tatu, lakini wataalamu kutoka Ofisi ya Rais, Katiba na Utawala Bora, wameambiwa bado haijaiva tayari.
Aidha, baraza hilo la mawaziri, liliwataka maofisa hao kuchukua uzoefu huo katika nchi za Jumuiya ya Madola, badala ya kuchukua katika nchi za Kenya, Uganda na Tanzania Bara pekee.
Rasimu hiyo imependekeza adhabu nzito kwa watakaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa. Aidha, inawalazimisha wanasiasa na viongozi watakaoteuliwa na rais, kutangaza mali zao mara wanapoingia madarakani na wakati wakimaliza muda wao.
Mbali na viongozi hao, watoto wao pia wanapaswa kutangaza mali walizonazo ili kupata kumbukumbu nzuri za mali wanazomiliki pale wazazi wao, wanapomaliza muda wao.
Aidha, sheria hiyo inawabana viongozi wa kisiasa kujiepusha na kutoa takrima, ikiwemo huduma ya malazi na viburudisho wakati wa uchaguzi.
Katika muswada huo, imependekezwa adhabu ya faini ya sh milioni 10 au kifungo cha miaka 10 kwa mtu yeyote atakayepatikana na makosa ya kupokea au kutoa rushwa.
SMZ haijasema ni lini wataalamu wa Zanzibar watatumwa katika nchi hizo za Jumuiya ya Madola ili wakachukue uzoefu wa sheria kama hiyo, lakini wataalamu kutoka katika Ofisi ya Katiba na Utawala Bora, wamekuwa wakizunguka na rasimu hiyo kwa zaidi ya miaka mitatu.
wajinga ni hao supervisors walioshindwa kutoa training kwa huyo cleaner asiyejua kitu kuhusu hiyo machine ambayo ni sensitive sana na walitakiwa wafanye kila kitu to guard hiyo machine...ni uzembe kama huo katika makampuni yetu ya kushindwa kutoa inhouse training ndogo ndogo kwa wafanyakazi wao ndio maana productivity ni ndogo sana na hasara za kijinga zinazoweza kuzuilika zingezuilika....hapo kumbuka mzungu lazima kama una access na hicho chumba basi lazima angekupa training na lazima usign ili siku ukichemsha tuu mzee file inavutwa na unaambiwa tulikuambia sasa hapo you're fired au unaface court of law
ReplyDeleteMichuzi umekosea,sio FUNZO ni FUMBO
ReplyDeletena MAJIBU yake ni mawili
1.SWEEPER doesnt vacuum
2.Sio kila ugonjwa umlazao mtu hospitali unahitaji LIFE SUPPORT SYSTEM.
Kama unataka kung'ang'ania ni FUMBO basi ulifanyie editing!!!!!