mdau toka toronto akipata lanchi na wadau wenzie mgahawa wa city garden

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. weee brother hapo wa kwanza mwenye blue shirt hebu jaribu kupunguza tumbo hilo ...ebo!

    ReplyDelete
  2. Sasa misuti ya kazi gani na joto la Bongo!

    ReplyDelete
  3. Wewe anony wa suti acha wivu, suti si ya mchizi mwenyewe na akiamua kuivaa ni uamuzi wake wewe huwezi jua mipangilio yake ni ipi, labda alikuwa na safari ya ikulu au Hazina, huwezi jua.Kutinga suti huleta heshima ya hali ya juu, na wewe unayemkosoa mvaaji suti Bongo una lipi la kusema kwa wale wanaovaa jeans, maana hata jeans nazo ni nguo nzito.

    ReplyDelete
  4. Huyo slim au chekibobu maarifa mwambie kuwa huku council huku Barking wamemsamehe hiyo council tax alioikimbia na mchango wake bado unahitajika

    ReplyDelete
  5. Huyo bwana mwenye suti mh Said habari kaka naona mambo si mabaya ndugu yangu mimi mzima kabisa sian simu yako ningekutwangia.

    Narudi bongo karibuni.

    ReplyDelete
  6. We anon wa 12:08pm acha ushamba 'smartness has no weather' we inaonyesha jinsi gani ulivyo na akili finyu jamaa kapendeza unakandia na kama uko majuu ukirudi unakuta kazaa na dada yako huyo (shemeji) kama hujamuomba nauli ya daladala

    ReplyDelete
  7. michuzi hivi hawa wadau naona lazima unawaambia picha zao humu ni kwa risk yao wenyewe zikiwekwa maana rockets wanazorushiwa si mchezo...mimi nikishuka lazima nikuletee zawadi lakini picha yangu humu ni NO NO maana wadau wenye hasira naona watamalizia kwangu...damn!

    ReplyDelete
  8. Hebu Kaka Michuzi waambie hao wanaojifanya wako majuu, bongo hivi sasa tuna masika hivyo suti ukiwa nayo mida hii ndio mwake, halafu huyu kaka suti imempendeza jamani, na hiyo smile yake..kweli ana mvuto.

    ReplyDelete
  9. Kipipa Ayubu mwenye Blue ..punguza maunene utakufa buree na BP mtoto mdogo.

    ReplyDelete
  10. jamani uzee unawanukia vijana wa zamani ama kweli leo hii Joe umekuwa unakitambi hicho? kweli enzi hazirudi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...