harufu ya muafaka kufanikiwa imeanza kunukia kwani hatimae maalim seif na wah. wengine wa cuf wamehudhuria sherehe za muungano leo neshno...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA, JAPO HUWEZI KUWA NFALME ILA UNAWEZA UKAISHI KAMA MFALME.
    Wabillah Tawfiq

    ReplyDelete
  2. Michu,
    Hawa jamaa wote mbona inaonyesha kama wamenuna? Utadhani wako msibani bwana! Inakuwaje tena watu wanakuwa na sura zimenuna kiasi hiki kwenye sherehe ya kitaifa! Au ndio kuonyesha hasira na chuki waliyonayo na huo Muungano?

    ReplyDelete
  3. Hawa jamaa naona wamenuna kwasababu kulikuwa hakuna sitting ("standing") allowance. Maana mbongo umwambie ahudhurie shughuli bila kuwepo chochote ujue mbinde kichizi. Sasa hawa waheshimiwa naona walipata mwaliko tu wa kuhudhuria hilo gwaride, lakini kulikuwa hakuna malipo yoyote ...

    ReplyDelete
  4. Kwa kweli kama kwa vikao tu walivyokaa kamati ya CUF na CCM vitaleta muafaka bila wanachamana au wananchi wote kuhisishwa,,, basi lazima tujue kwamba tatizo halikuwahi kuwa la wananchi/wanachama bali hao hao viongozi wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...