Home
Unlabelled
harufu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
PENYE UDHIA PENYEZA RUPIA, JAPO HUWEZI KUWA NFALME ILA UNAWEZA UKAISHI KAMA MFALME.
ReplyDeleteWabillah Tawfiq
Michu,
ReplyDeleteHawa jamaa wote mbona inaonyesha kama wamenuna? Utadhani wako msibani bwana! Inakuwaje tena watu wanakuwa na sura zimenuna kiasi hiki kwenye sherehe ya kitaifa! Au ndio kuonyesha hasira na chuki waliyonayo na huo Muungano?
Hawa jamaa naona wamenuna kwasababu kulikuwa hakuna sitting ("standing") allowance. Maana mbongo umwambie ahudhurie shughuli bila kuwepo chochote ujue mbinde kichizi. Sasa hawa waheshimiwa naona walipata mwaliko tu wa kuhudhuria hilo gwaride, lakini kulikuwa hakuna malipo yoyote ...
ReplyDeleteKwa kweli kama kwa vikao tu walivyokaa kamati ya CUF na CCM vitaleta muafaka bila wanachamana au wananchi wote kuhisishwa,,, basi lazima tujue kwamba tatizo halikuwahi kuwa la wananchi/wanachama bali hao hao viongozi wao.
ReplyDelete