haya tena. anayetaka ushauri nasaha hapa anakontakti...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Hivi hawa madaktari huwa wanapata wateja?

    ReplyDelete
  2. Nasikia jamaa kafungua na blog yake na anauwezo wa kukutibu humo humo kwa kutumia mtandao

    ReplyDelete
  3. Kweli kingereza ni muhimu katika biashara,mpaka huyu kaamua kutangaza biashara yake kwa wazungu sio macheso babaake.
    Ila cha kushangaza mganga mwenyewe kachoka ile mbaya lakini anakupromiss vyote hivi what the fuck is wrong with these people.

    ReplyDelete
  4. haya wee contact zake za sangoma huyu ziko waki bro michu? ziweke basi tumtingishiye waya wake wa kilongo longo tulonge naye.

    ReplyDelete
  5. vipi Issa,mbona havisomeki,hebu ka fokasi vizuri.anatatua matatizo gani?

    ReplyDelete
  6. du iko kazi kweeeli kweli. sasa hospitali ni hapo kando ya kibao au ni wapi! huyu sangoma moto wa kuotea mbali sana nimependa kiingereza chake, maana anatageti wazungu tu au tabaka fulani ambao sina uhakika kama wanapita hapo. hawezi kuppata wateja ingawa kajitahidi kwa kimombo, big up sangoma. Michuzi hapo ni wapi ili atembelewe!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...