Home
Unlabelled
jujuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hivi hawa madaktari huwa wanapata wateja?
ReplyDeleteNasikia jamaa kafungua na blog yake na anauwezo wa kukutibu humo humo kwa kutumia mtandao
ReplyDeleteKweli kingereza ni muhimu katika biashara,mpaka huyu kaamua kutangaza biashara yake kwa wazungu sio macheso babaake.
ReplyDeleteIla cha kushangaza mganga mwenyewe kachoka ile mbaya lakini anakupromiss vyote hivi what the fuck is wrong with these people.
haya wee contact zake za sangoma huyu ziko waki bro michu? ziweke basi tumtingishiye waya wake wa kilongo longo tulonge naye.
ReplyDeletevipi Issa,mbona havisomeki,hebu ka fokasi vizuri.anatatua matatizo gani?
ReplyDeletedu iko kazi kweeeli kweli. sasa hospitali ni hapo kando ya kibao au ni wapi! huyu sangoma moto wa kuotea mbali sana nimependa kiingereza chake, maana anatageti wazungu tu au tabaka fulani ambao sina uhakika kama wanapita hapo. hawezi kuppata wateja ingawa kajitahidi kwa kimombo, big up sangoma. Michuzi hapo ni wapi ili atembelewe!
ReplyDelete