
mshindi wa bongo star search 2007 jumanne iddi (shoto) akiwa na prodyuza mahiri nchini saidi comorien wakitoka studio ambako amekamilisha singo yake ya kwanza iitwayo 'wazazi' ambayo kaiipua leo na baada ya kuisikiliza mie mwenyewe nimebroo. kijana huyu ni tishio kama ambavyo comorien anavyotisha kwenye kupika midundo mipya kama vile 'presha' ya hafsa kazinja na banana zorro...kwa habari ya jinsi jumane alivyoibuka kidedea bofya hapa
Sir Issa kuna jengo upande wa pili wa barabara au ni hapo kushoto kwa produza..mei be sio hapo..nataka kureKodi flava.
ReplyDeleteNimepata CD ya hicho kibao kipya cha bibie Hafsa na Banana ,Nimetumiwa na ndugu yangu, kimetulia sana.Lakini naona kama Bwana Banana anamuiga KOFFI OLOMIDE kisauti.
ReplyDeleteMICHUZI LEO KWA MARA YA KWANZA UMEWEKA LINK YA IPPMEDIA... HONGERA!
ReplyDeleteKaka Michu huyu bwana niliofanikiwa kuona mchuano mmoja nilipokuja nyumbani kwa muda mfupi aliimba kile kibao cha Kimanzichana kaka ni Copy and Paste kaka, Jamaa ana sauti na anajua kumiliki jukwaa akipata Meneja mzuri na asipolewa sifa atafika mbali, aangalie Wakilisha wako wapi? Kaka kaza Buti "Kumi inaanza na Sifuri kaka" ndio kwanza uko kwenye Moja safari bado ndefu kaka, Kila la heri
ReplyDeleteHongera sana kwa ushindi wako . Huyu kijana nilimsikia nilipo kuwa bongo December alipoimba wimbo wa money -money hakika nilivutiwa sana na sauti yake , na umaridadi wa kuimba ..na nikasema kama wangekuwa wanachagua ki-harali basi huyu kijana anatakiwa ashinde .. na leo nilipo ona ujumbe huu nimeamini kwamba kweli imetumika haki. Ingawaje mie sikufahamu lakini i was praying for you and thank god that you become winner of the project .
ReplyDeleteAdvace una kipaji cha muziki kitumie kujikomboa maishani usije ukababaishwa na mambo madogo madogo futa pumzi utafika mbali . GOOD LUCK.
Mpenda haki.
I Like the comment by They Call me Pope, Kumi inaanza na sifufi uko kwenye Moja, unajua mana yake Kijana? Jamaa kakupa bonge la fumbo, inamaana bado una kazi ya kufany aili ufike kwenye Kumi, Big up Juma.
ReplyDelete