Home
Unlabelled
kamati
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi nimekubali HILO POZI ilikuwa kusubili picha au ???????,ila umetulia mshikaji mambo ya cream !! CONGRATS THE NEWLY WED karibuni club !
ReplyDeleteMichu kwa kujipemdalea, Inaonekana wewe ulikuwa mwenyekiti wa kamati maana hapo pozi lako utafikiri ulichangia peke yako. Poa bro maisha yenyewe mafupi jinafasi unapopata nafasi.
ReplyDeleteHongera sana kwa Chabi na Viki, ni jambo jema watu wanaopendana kuungana kwa heshima hivyo. Na naona support waliyoipata kwa wadau wenzao wa habari inatia moyo. Hongereni sana na nawatakia maisha mema Mungu awajalie uvumilivu.
ReplyDeleteIla braza Michuzi na suti yako ulitoka si kitoto,halafu unaonekana kama ni mtaalamu wa kuzamia harusi hivi! Hahaha,jokes ulipendeza sana mzee. Ukila suti unakuwa kama Mh.waziri flani.
Mhh, kwenye hii squad ya kamati, Michuzi hauonekani kabisa. Inawezekana kabisa kuwa uliingia mitini wewe kwneye kamati! Maana uaminiki siku hizi.
ReplyDeleteLakini pia, nyie yaani kamati nzima ya Daily News na Habari mnatoa dola 800 tu kama zawadi?! Mlizipata wapi, au kuna mfadhili aliwamegea? Maana sioni logic ya kutoa dola 800 kama zawadi wakati michango ni kwa TSHS!!! hebu tuoe maelezo wewe mi-soup.
Michuzi Label kwenye suit yako ilikuwepo au uliondoa?
ReplyDeleteWape Hongera Maharusi.
waambie ktk maisha kuna Jumapili na kuna jumatatu, sio siku zote ni jumapili.
mzee suti lako nimeliona,lakini pozi zanini na wewe sio muoaji bali mwanakamati?kwenye yangu hupati ukamati usije nifunika kwa pozi zako.
ReplyDeleteMi-soup ya Nyanya ametoka fresh sana na hiyo Suit yake. Ila hilo pozi wadau, nadhani alikuwa anatoa maelezo kwa aliyekuwa ameshika kamera na ndio maana hiyo picha imesimama kiasi chake.Mkumbuke washika bunduki(camera) za habari wote wapo ndani ya snape.
ReplyDeleteKazi nzuri Misupu