kamati ya maandalizi ya harusi ya chabi na viki

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Michuzi nimekubali HILO POZI ilikuwa kusubili picha au ???????,ila umetulia mshikaji mambo ya cream !! CONGRATS THE NEWLY WED karibuni club !

    ReplyDelete
  2. Michu kwa kujipemdalea, Inaonekana wewe ulikuwa mwenyekiti wa kamati maana hapo pozi lako utafikiri ulichangia peke yako. Poa bro maisha yenyewe mafupi jinafasi unapopata nafasi.

    ReplyDelete
  3. Hongera sana kwa Chabi na Viki, ni jambo jema watu wanaopendana kuungana kwa heshima hivyo. Na naona support waliyoipata kwa wadau wenzao wa habari inatia moyo. Hongereni sana na nawatakia maisha mema Mungu awajalie uvumilivu.
    Ila braza Michuzi na suti yako ulitoka si kitoto,halafu unaonekana kama ni mtaalamu wa kuzamia harusi hivi! Hahaha,jokes ulipendeza sana mzee. Ukila suti unakuwa kama Mh.waziri flani.

    ReplyDelete
  4. Mhh, kwenye hii squad ya kamati, Michuzi hauonekani kabisa. Inawezekana kabisa kuwa uliingia mitini wewe kwneye kamati! Maana uaminiki siku hizi.

    Lakini pia, nyie yaani kamati nzima ya Daily News na Habari mnatoa dola 800 tu kama zawadi?! Mlizipata wapi, au kuna mfadhili aliwamegea? Maana sioni logic ya kutoa dola 800 kama zawadi wakati michango ni kwa TSHS!!! hebu tuoe maelezo wewe mi-soup.

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 01, 2007

    Michuzi Label kwenye suit yako ilikuwepo au uliondoa?
    Wape Hongera Maharusi.
    waambie ktk maisha kuna Jumapili na kuna jumatatu, sio siku zote ni jumapili.

    ReplyDelete
  6. mzee suti lako nimeliona,lakini pozi zanini na wewe sio muoaji bali mwanakamati?kwenye yangu hupati ukamati usije nifunika kwa pozi zako.

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 01, 2007

    Mi-soup ya Nyanya ametoka fresh sana na hiyo Suit yake. Ila hilo pozi wadau, nadhani alikuwa anatoa maelezo kwa aliyekuwa ameshika kamera na ndio maana hiyo picha imesimama kiasi chake.Mkumbuke washika bunduki(camera) za habari wote wapo ndani ya snape.
    Kazi nzuri Misupu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...