wadau kadhaa wamehoji kushuka idadi ya hesabu za watu kwenye kaunta chini kulia. sababu ni kwamba jamaa waliokuwa wakinipa huduma hiyo ya kaunta wametoweka hewani ghafla na imebidi niweke kaunta ya dharura. mambo yakiwa mazuri itarudi ile orijino. ila nafarijika kwamba ingawa kaunta hii mpya imeanza masaa 2 yalopita, wageni waliosha nitembelea wanatia moyo asanteni kwa ushirikiano nami naahidi kiendeleza libeneke zaidi na zaidi. ila kwa atakayetaka kujua data za wadau wanaonitembelea bofya mara mbili kitufe cha buluu chini kati na fuata maelekezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sir Michuzi, Juhudi zako za kuweka vitu vipya kila siku ndio linawafanya wadau wakutembelee kila siku...kwani tunauwakika wa kukuta vitu vipya kila siku. Website za serikali zingekuwa zipo uptodate kama hii yako ingekuwa pooowa.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...