Home
Unlabelled
biashara
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nimeclick view complete profile hamna kitu, sasa kama jamaa hanaogopa kuandika jina lake na information zake tutamuamini vipi ?weka jina na kila kitu, usicheze na pesa za watu
ReplyDeleteJamaa kaweka email yake na namba ya simu. Sasa si uwasiliane nae kama unataka kitu? Kwani mpaka aandike jina?
ReplyDeleteTapeli huyu, mbona kaficha identity yake?? Tutamwamini vipi?? Au anatuletea za kuuza mbuzi kwenye gunia?
ReplyDeleteJamaa nimempigia simu leo na nimetoa order ya Redio za kumwaga tuu
ReplyDeletehaya ndiyo mambo tunayotaka na siyo kuyeyushana kama jamaa wengine.Sasa nasubiri mali tuu
Asante bwan michuzi kwa kutoa link hii
Sir Issa huyu jamaa tangazo lake si haba. Lakini Mmm...
ReplyDeleteNDUGU YANGU MTOA MAONI...ENHEE UAPELI GANI HUO UNATAKA KULETA MAMBO YA KARATA TATU HAPA.
ReplyDeleteMTU ANAJIFANYA KASHINDA KUMBE NDO WALE WALE WA KUNDI MOJA. UTAODA VIPI REDIO ZA BUSH UINGEREZA? UTANUNUA SHILINGI NGAPI REDIO MOJA HADI USEME UMEODA ODA KIBAO!
HIZO SONY MINI DISC MBONA HAJATOA PICHA ZAKE TUKAZIONA. SIKILIZA MTOA MAONI...WE ODA ZAKO MWENYE KUTAKA KUTAPELIWA ATA ODA ZA KWAKE.
HAKUNA MTU ANAETAKA BUSH HUKO BONGO ANYWAY...BORA UWAAMBIE UNA DUKA MTAA FULANI WATU WATAFUATA WENYEWE SIYO KWENYE WEBSITE AU BLOGS...CIAO
naona hatuelewani mimi nimeorder kupeleka ho Africa sasa wewe shida yako ni nini? nyie ndio hamuishi kulalama etui wabongo hatupigani tafu halafu mnakuwa wakwanza kulalama
ReplyDeleteMimi niko huko Jersey sasa nianza kufunga vizo safari za kwenda London leo? ndio maana nimeona bora nimalizane na jamaa tu kibiashara sasa sielewi wewe ulitaka niseme nini?
Kwa taarifa yako hizo redio zitawafaa watu huko nyumbani wa mjini pamoja na vijijini sasa hata hilo wewe hutake
basi makubwa haya