hali ya madafu leo...

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Wakati niko Tanzania nilikua sioni umuhimu wa mabadiliko ya fedha zetu kwa kufananisha na fedha za kigeni, lakini kwa kipindi kifupi nilichokaa nje ya tanzania na ukizingatia mi ni mmojawapo wale wachache ambao wanatunza wazazi Tanzania, sasa naona faida yake kwa mwangaza mkubwa zaidi... nakupongeza kwa hilo mr michuzi na naomba iwe inatoka walau mara mbili kwa wiki hata kama hakuna mabadiliko ya kifedha.

    ReplyDelete
  2. Namimi namuunga mkono mtoa maoni hapo juu kwa kweli inatusaidia sana kuthamanisha pesa ya kigeni na ya huko nyumbani na hivyo kutuwia rahisi kuuamua kuwatumia ndugu zetu kiasi gani pamaoja na ushuru wake tafadhali SANA tunaomba uwe unatutolea mara kwa mara

    ReplyDelete
  3. mie michuzi nakupongeza kwa kutoa hizi RATES hapo za kubadilisha fedha ila mie naona ni kukosa UZALENDO KULINGANISHA AU KUITA PESA MADAFU LABDA UFAFANUE KWA KUA KUFANYA HIVYO NI KUONYESHA KIASI GANI UZALENDO UNAVYOPUNGUA MIONGONI MWA WATANZANIA, HII NI BLOGU YAKO BINAFSI ILA INASOMWA NA KUANGALIWA NA WATU WENGI SANA JARIBU KUTUMIA LUGHA NZURI HAPO. LABDA UNGESEMA "THAMANI YA FEDHA YETU LEO" HII INANIKUMBUSHA WALE JAMAA WALIOKUWA WANASHANGILIA SENEGAL KUIFUNGA TANZANIA WAKIJIDAI WAO NI SENEGAL, ENGLAND ILIFUNGWA NA BRAZIL KOMBE LA DUNIA NA KUTOLEWA LAKINI HUKUSIKIA ENGLAND WAKISHANGLIA BRAZIL, SIE WATANZANIA TUNACHANGANYA MAMBO YA UMASIKINI NA UZALENDO. HUO NI MFANO. nakupongeza kwa kufikisha ujumbe ila jaribu kuwa mzalendo kwa masuala ya nchi, si kwamba usiseme ukweli ila tumia lugha nzuri sio yakujidharau mwenyewe, hata nyumbani ukijidharau utadharauliwa na kila mtu. THANX

    ReplyDelete
  4. The first time i heard the term Madafu was-more that ten years ago. i did not even know Michuzi existed. I am not sure kwa nini hela zetu zinaitwa madafu. lakini Mbona issa anaitwa Michuzi

    Aristotle

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...