maharusi chabi barasa na vicky msele wakiwa kwenye foto shuut baada ya kufunga ndoa jana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 17 mpaka sasa

  1. Nice Picture!

    ReplyDelete
  2. Vicky na Chabi
    Hongera sana na kila la heri katika maisha yenu ya ndoa.

    ReplyDelete
  3. Beautiful couple. All the best in your marriage and remember to say I love you as many times as possible.

    Marriage life is a long journey with ups and downs, but don't hesitate to sit down and discuss your goals, achievements and disappointments, if any, in order to have a happy and enjoyable marriage.

    All the best.

    Simama Dede.

    ReplyDelete
  4. hongereni sana, maharusi nawatakia maisha mema ya upendo na furaha katika safari yenu ndefu ya maisha ya ndoa. muwekeni mbele mungu na muwe waaminifu katika ndoa yenu hasa katika wakati huu wa magonjwa mbali mbali na kama mkishindwa basi nje ya ndo mtumie condom ili msileteane magonjwa.

    ReplyDelete
  5. nice looking couple, all the best in your new life.

    ReplyDelete
  6. Powa sanaaaa!

    ReplyDelete
  7. Hongereni sana maaharusi. Mtangulizeni Mungu katika shida na raha na kumbukeni kutumia maneno haya matatu, "nakupenda, samahani na asante".
    Mwanandoa.

    ReplyDelete
  8. Nice looking couples all the best in your new life as husband and wife remember always to say the word I LOVE YOU in your daily life chabi barasa mtunze bibie huyo usije ukamgeuza punching bag all in all you gud all the best

    ReplyDelete
  9. Hongereni sana! Namwombeeni kwa Mungu ili huu mzimu wa divosi uwapishilie mbali maana siku hizi kwa vijana wa bongo kuoa na kuacha imekuwa mtindo wa kisasa.....Mark

    ReplyDelete
  10. CHABBY HONGERA SANA SIJUI KAMA MSHIKAJI WAKO WA LONG TIME KENNY MANARA ALIKUWEPO HAPO NAJUA ANGEKUA BESTMAN WAKO. ANYWAY HUO NDO MWANZO WA MAISHA MTUNZE BIBIE NA BIBIE NAE AKUTUNZE SIO MUANZE KURUSHA MACHO JUU JUU NA WAPITA NJIA. WATU WANATAFUTA NDOA HAWAPATI ANGALIENI SANA VIRUKA NJIA HAWANA ADABU WA HAYA.... THUMBS UP; MTOA NASAHA

    ReplyDelete
  11. du mko bomba saana ila huyu dogo si mgeni kama vile namjua tokea way back anyway hongera sana kijana...next time funga tai vizuri si kama unafunga utumbo vile..teh teh nakuonea wivu...wife naona anayo mega smile...bless ya all!!

    ReplyDelete
  12. Mwanaume ni handsome. Mwanamke, mhh! Labda huko maeneo!. The Law of reciprocisity hapa ndo ina apply.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 01, 2007

    Hapa sasa ndio mnaanza ibada ya mwenyezi mungu kwani ndoa ni ibada kubwa sana. Japo Vijana wengi huwa tunaanza na kumuasi mwenyezi mungu kwa kutestiana nje ya ndoa. Nina hakika dhambi hiyo kwenu sasa basi kwani hamta jaribu kutest wengine nje ya ndoa yenu na mungu atawafutia madhambi yote ya test za huko nyuma ili mradi msirudie test nyingine za nje.

    Nawatakia maisha ndoa yenye upendo na huruma kwenye shida na raha.

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 01, 2007

    1. Remember to say "I love you" and "I need you" often.
    2. Walk hand in hand in the rain.
    3. Write a love poem.
    4. Call a radio station and dedicate a favorite song.
    5. Write "I Love You" in lipstick or shaving cream on the mirror.
    6. Hide love notes in a lunch box, briefcase or purse.
    7. Make heart-shaped cinnamon toast for breakfast.
    8. Place a love note in the personals section of the newspaper.
    9. Take a carriage ride around the city.
    10. Plan a surprise getaway.
    11. Do your mate's household chores.
    12. Write notes on future dates in their date book ("I love you," I miss you," etc.)
    13. Make reservations at a favorite restaurant.
    14. Let them choose the movie.
    15. Give a foot massage.
    16. Make a heart-shaped bookmark, and place it in their book.
    17. Pop in a romantic music CD and slow dance.
    18. Throw a just-because surprise party for two.
    19. Buy a stuffed animal for your honey.
    20. Read each other's horoscopes.
    21. Make a list of the top 10 things you love about your partner.
    22. Display it in a prominent place.
    23. Tattoo your mate's name on your body.
    24. Make an album or scrapbook of your favorite memories together.
    25. Go camping together and only take one sleeping bag.
    26. Send a mushy message in a bottle...a balloon...a sandwich...
    27. Cut out a silly cartoon that you know they'd enjoy.
    28. Shower together.
    29. Dim the lights, and snuggle together on the couch.
    30. Be the first to say "I'm sorry" and kiss and make up.
    31. Give each other a full-body massage.
    32. Kiss every hour on the hour all day long.
    33. Send a gift basket of indulgent items.
    34. Write "I'm hot for you" in the steam on the bathroom mirror.
    35. Ribbon wrap your bed with a big bow.
    36. Fill up the gas tank of your partner's car.
    37. Act like teenagers. Maybe even pierce something!
    38. Show up with a bouquet of flowers -- for no reason at all.
    39. Play Scrabble��� together, using as many "love" words as you can.
    40. Run a warm bubble bath for your partner, with lots of lit candles.
    41. Meet in the park for a picnic.
    42. Hold hands.
    43. Leave a trail of rose petals through the house, leading to a romantic candlelight dinner.
    44. Make a donation in your mate's name to a special cause or charity.
    45. Pick up their clothes from the floor -- without saying a word about it.
    46. Watch an old black and white romantic movie and share a bowl of popcorn.
    47. Reenact your first date.
    48. Surprise your partner with tickets to a special event.
    49. An unexpected hug can brighten any day.
    50. Buy a silly, impromptu gift.
    51. Send an email just to say "I'm thinking of you."
    52. Bring home a balloon bouquet.
    53. Serve breakfast in bed.
    54. Make an ornament with a picture of both of you for the Christmas tree.
    55. Play tag.
    56. Wash and wax your partner's car, and leave a little note on the dashboard.
    57. Plant a garden together.
    58. Leave a mushy message on voicemail.
    59. Stay at a hotel for the night, just because.
    60. Make angels in the snow.
    61. Every time you say "hello" or "goodbye", seal it with a hug and a kiss.
    62. Take a drive in the country.
    63. Spend the evening looking at the stars -- and make a wish together.
    64. Cast a playful wink any time, anywhere.
    65. Think up a list of silly little pet names for times when you're alone together.
    66. Read poetry to each other.
    67. Celebrate your half-birthdays together.
    68. Put a picture of both of you in your wallet.
    69. Buy that favorite book or CD for no reason at all.
    70. Send a care package to work filled with treats like food, photos, candy, a love note, heart-shaped confetti, etc.
    71. Go out fo
    72. Free Advice from Pope kaka Take Care

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 01, 2007

    Honngereni sana maarusi najua sasa mko fungate lakini dada viky jiepushe na marafiki ambao unawaona si waaminifu sasa una nyumba yako hivyo kuwa na marafiki wa rika lako lakini wenye ndoa watakusaidia mawazo mazuri ya jinsi ya kuishi na mumeo,achana na Manungayembe watakuaribia ndoa

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 02, 2007

    Some people are boring !!!!! Like the one who wrote unscruplous words above just to make herself like what she looks !! I mean the Anony who posted on Tuesday, May 01, 2007 at around 6:31:00 AM !!! Take care dummy

    ReplyDelete
  17. Chaby na Vicky, HONGERA! Kweli mlipendeza na nasikia sherehe ilifana sana. Mungu Awabariki!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...