Three friends went to a hotel. The bill was 75/= Shs.
Each one contributed 25/= Shs.
The waiter took the bill to the cashier. The cashier was happy and decided to give them a Discount of 5/= Shs, so he asked the waiter to return them 5/= shs.
Now the waiter was confused on how to distribute 5/= Shs among 3 persons?
He kept 2/= Shs in his pocket & gave one Shilling to each one of the 3 persons.
So, initially each one had contributed 25/= Shs.
Now as they are given 1 Shilling back, their contribution reduces to 24/= Shs.
They all contributed 24/= Shs each -- that is 24/= x3 = 72/= shs, 3 shillings are in their pocket and 2 Shillings are in the waiter's pocket . The total becomes 77/= shs.
But they paid 75/= Shs.
Where are the remaining 2 Shillings?

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. Usituchanganye weye....hizo shilingi mbili anazo waiter...!! Hy mbili ingine kufika 77 umeitoa wapi?..halaa!!

    ReplyDelete
  2. 24 x 3 = 72
    72 kutoa 2 za waiter = 70 za mwenye duka. Sasa hiyo 77 umeipata wapi?! Umejichanganya jamaa.

    ReplyDelete
  3. The total given was 72shs, each friend has 1 sh for a total of 75shs. The 2 shs that the waiter has is from the 72shs given, so there is no missing money.

    The question is kinda wrong on saying the total is 77

    75 given:::

    cashier got 75-5 = 70
    waiter got 5-3 = 2
    friends 1+1+1 = 3

    The total is and will always be 75

    ReplyDelete
  4. Michuzi tatizo hapo lipo pale unaposema 24X3=72 halafu tena unajumlisha 3 walizonazo mfukoni wakati hizo 3 walizonazo mfukoni ni sehemu ya hizo 24.
    Jirungu la mpingo katamboi

    ReplyDelete
  5. MAGAZIJUTO

    ReplyDelete
  6. walitoa 25 kila mmoja. walipopewa punguzo la 5, wanakuwa wamelipa jumla ya 70. 70 gawanya kwa 3 ni 23.33333, ukiongeza 1 waliyorudishiwa kila mmoja inakuwa 24.333333 kwa hiyo ukizidisha 23.33333 kwa 3 unapata 73, halafu ukijumlisha na 2 alizotia ndani weita inakuwa 75. Kwa hali halisi kwa kweli kuna 1 inapotea bila kuwepo njia rahisi ya kuelezea. [(25-1)x3]+2=74, kimahesabu huwezi kupata jibu

    ReplyDelete
  7. kwa mimi kichwa maji nimeshindwa kuelewa maheasabu yanaendaje kabisa.kichwa kimekaribia kubasti.
    MANYUNYU

    ReplyDelete
  8. In waiter's pocket

    ReplyDelete
  9. This is confusing?!?!?!

    ReplyDelete
  10. This is confusing ?!?!?!

    ReplyDelete
  11. Arithmetic Progression.

    Bwana eeh, huyo waiter awarudishie tu dollar 5 wao watajuana mbele ya safari. Hii mambo ya waiter kutia ndani dollar 2 na kuwarudishia wao dollar moja moja na kuwapigia hesabu upya mainaz 1 dollar each ndio inayoleta utatanishi! Namna gani hii??!!

    Mambo ya tip je hapa ni vipi? Kama in the USA ni customary 15% of the total bill.

    ReplyDelete
  12. are you kiding me!they contributed a total of 75 and get back 5 as a discount,that mean 70 went in the cashier's draw and after getting 1 @ would make a 72 total out from there pockets + 3 which they get back would make 75 and not 77 i.e[(75-5)+2]/3

    ReplyDelete
  13. ENOUGH SAID EARLIER; IN THE WAITER'S POCKET!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  14. Hawa wakaramba walilipa Sh 75 lakini msosi wao uligharimu Sh 70 na baameidi aliweka kibindoni Sh 2, kwa hiyo bili kwao ilikuwa Sh 72, na ndiyo maana kila mmoja alitoa Sh 24 kulipa bili hiyo baada ya kurudishiwa Sh 1.

    ReplyDelete
  15. misupu acha janja yako ya nyani! wale wateja ili bidi warudishiwe sh 1 na sent 7. kwahiyo wale wateja watakuwa wamechangia 23 na sent 3 kila mmoja .boss alibaki na sh 70, muhudumu aliiba sh 2, kwahiyo ikabidi arudishe sh 1 badala ya sh 1 na sent 7 kwa kila mmoja. siku njema mpenzi bwawa la maini

    ReplyDelete
  16. Issa eh! jamani mbona wabongo wanafurahisha namna hii hata hawaoni jibu.Hio shilingi mbili uisemayo ni kwamba jamaa wameliwa hela tu kwani msosi ulikuwa 70/= na sio 72/=.If U claim they paid 72/= then the price has technically been adjusted and thats where the 2/= went.
    Titcha.

    ReplyDelete
  17. Hii balaa tupu! Balaa sana mahesabu ya kiaina haya!

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 01, 2007

    the last line of the question was wrong, it was supposed to read this way ....Where does the extra 2 Shillings come from?

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 01, 2007

    Sir Issa vipi Mzee...ISSA WEWE KWELI MWADISHI WA HABARI...WEITA ALIPEWA TIP AU... ALICHUKUA TIP...
    :((!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...